tiGO for Developer TIGO API

tiGO for Developer TIGO API

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
whether you a developer, a digital bussness enterprenuer, an e-commerce bussness or you are simply looking to use mobile money to ease payment management in your bussness ,the Tigo Pesa API's are now for you. when you are ready to Roll out contact our corporate team at mfs.corporate@tigo.co.tz

Tigo wana hii huduma aisee nimejaribu mwezi sasa kuomba kupatiwa hii huduma imeshindikana kuna ambaye ameshawahi omba na kufanikiwa naomba kujuzwa na njia alizopita akapata

nimesha download documentation ya api nimesha develop website yangu kwa ajili ya watej wanapo add cart huduma zangu waweze kulipa moja kwa moja kwa kutumia tigo online payment sysytem,
nasikitika nafanya jitihada kuwasiliana na huduma kwa wateja naambiwa ombi lako linashughulikiwa, juzi nimefika HQ kijitonyama nimepatiwa nambari za mtu wa kitengo ch MFS wanao dili na mambo hayo ameniomba email kwa ajili ya kunitumia MERCHNT KEY NA SECTERY KEY hajatuma leo nimepiga simu amenijibu NATAKIWA KUWA NA BISHARA ITAKAYOKUWA INAINGIZA WALAU MILIONI 15 KWA MWEZI NDIO NINAWEZA PATA MERCHANT KEY.
wadau je hii ni sahihi naomba kujuzwa
 
Sio peke yako,
Kwa nini hizi project zinazohusiana na mobile payment tukaazidevelop as open sources
 
hawa watu ndio wanarudisha Tech nyuma wakati kunakampuni kubwa duniani API wanatoa tu kama Open source iweje wenyewe waweke conditions ngumu hivi?
 
aisee nikurudishana nyuma sana api huwa aina masharti tuacheni kuonyeshe uwezo tutumie elimu tulizosomeshwa
 
aisee nikurudishana nyuma sana api huwa aina masharti tuacheni kuonyeshe uwezo tutumie elimu tulizosomeshwa

Mkuu, inawezekana ameongea kwa lugha ya kikubwa huyo jamaa.

Je, wewe ulijaribu kuongea kiutu uzima kwa herufi kubwa ukaona bado inakuwa ngumu mkuu...?
 
Mkuu, inawezekana ameongea kwa lugha ya kikubwa huyo jamaa.

Je, wewe ulijaribu kuongea kiutu uzima kwa herufi kubwa ukaona bado inakuwa ngumu mkuu...?
NAKUJIBU KWA HERUFI KUBWA NA MIMI: KAMA UMEMAANISHA KUTOA RUSHWA HUWA SITOI SIAMINI KATIKA KUPATA HAKI KWA KUTOA RUSHWA NILICHOKIFANYA NIME MU EMAIL GENERAL MANAGER WA TIGO NANGOJA MAJIBU HAPA RUSHWA HUWA HAITOKI NDUGU
 
Wee ni mbuzi mkuu, kwa hiyo utakula kwa uref wa kamba yako.

Na ndivyo ilivyo pia kwa mbuzi wote mkuu.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom