Adriel Vin
Senior Member
- Jun 25, 2020
- 148
- 765
WAHUNI KWELI KWELI HAWAMiezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik)
Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to convince someone to purchase your services/business)
Sasa nilimweleza vyema huyu dada kuwa siko tayari kwa huduma hiyo kwa sasa lakini nikiwa tayari nitawatafuta, akasema hakuna shida jiunge tu ila ukitaka kuanza kunufaika na huduma zetu utapewa maelekezo zaidi, basi akawa ananipa maelekezo kama bonyeza *150*01# na kuendelea, hakutaka namba yangu ya siri ya tigo pesa ila alinambia niweke… nikaingia mkenge nikaweka (najua ni kosa nilifanya) ntaelezea mbele.
Mwezi ulivyoanza tu wakanikata pesa Tsh 9000 kwa ajili ya huduma hiyo, nikajua kosa nililofanya ni kuweka namba ya Siri meaning nilikua nimejiunga moja kwa moja…
Basi bila kinyongo nikawapigia na kuomba kujitoa na wala sikudai ile 9000 maana nilijua kosa ni langu.
Kilichonifanya niandike hapa ni kwamba yule mhudumu niliyeongea nae akaahidi kunitoa kwenye huduma hiyo wala hakunitoa nilijua hilo baada ya kuja kukatwa tena 9000 mwezi unaofata.
Sikukata tamaa nikawapigia na kusisitiza sitaki huduma hiyo hivyo wanitoa, nikawa mkali kidogo kwamba wanitoe na nikauliza kuhusu elfu 9 niliyokatwa while nimewapa taarifa tayari, yule dada akanijibu kuwa siwezi kurudishiwa pesa maana imekatwa tayari. Nikamwambia sawa naomba mnitoe sitaki huduma hii akaahidi kunitoa
Sasa mwezi huu wamenikata tena na nikipiga simu napewa majibu yale yale. Na baada ya kuwa mkali sana nikitaka kulipwa elfu 9 yangu ya mwezi huu, dada mtoa huduma ndo kanitoa.
Naomba ushauri, naanzia wapi kuwadai hawa Ts 9000, issue hapa sio kiasi kidogo hiki cha pesa, issue ni je wangapi wamepigwa au wamepitia same stuation kama mm… huu ni wizi kwakweli.
Nawasilisha
Kosa lako liko kwenye hii nukuu yako: ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…!Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik)
Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to convince someone to purchase your services/business)
Sasa nilimweleza vyema huyu dada kuwa siko tayari kwa huduma hiyo kwa sasa lakini nikiwa tayari nitawatafuta, akasema hakuna shida jiunge tu ila ukitaka kuanza kunufaika na huduma zetu utapewa maelekezo zaidi, basi akawa ananipa maelekezo kama bonyeza *150*01# na kuendelea, hakutaka namba yangu ya siri ya tigo pesa ila alinambia niweke… nikaingia mkenge nikaweka (najua ni kosa nilifanya) ntaelezea mbele.
Mwezi ulivyoanza tu wakanikata pesa Tsh 9000 kwa ajili ya huduma hiyo, nikajua kosa nililofanya ni kuweka namba ya Siri meaning nilikua nimejiunga moja kwa moja…
Basi bila kinyongo nikawapigia na kuomba kujitoa na wala sikudai ile 9000 maana nilijua kosa ni langu.
Kilichonifanya niandike hapa ni kwamba yule mhudumu niliyeongea nae akaahidi kunitoa kwenye huduma hiyo wala hakunitoa nilijua hilo baada ya kuja kukatwa tena 9000 mwezi unaofata.
Sikukata tamaa nikawapigia na kusisitiza sitaki huduma hiyo hivyo wanitoa, nikawa mkali kidogo kwamba wanitoe na nikauliza kuhusu elfu 9 niliyokatwa while nimewapa taarifa tayari, yule dada akanijibu kuwa siwezi kurudishiwa pesa maana imekatwa tayari. Nikamwambia sawa naomba mnitoe sitaki huduma hii akaahidi kunitoa
Sasa mwezi huu wamenikata tena na nikipiga simu napewa majibu yale yale. Na baada ya kuwa mkali sana nikitaka kulipwa elfu 9 yangu ya mwezi huu, dada mtoa huduma ndo kanitoa.
Naomba ushauri, naanzia wapi kuwadai hawa Ts 9000, issue hapa sio kiasi kidogo hiki cha pesa, issue ni je wangapi wamepigwa au wamepitia same stuation kama mm… huu ni wizi kwakweli.
Nawasilisha
Kiukweli wanakera sanaakianza tu, hua nakata hapohapo maana nishakariri "tone" yake
Ungebadirisha namba ya s
Mkuu uli data na zile sauti mzuri 😆😆😆 hapo ,, piga *150*01# nenda huduma za kifedha pale 7, chagua Bima, kisha chagua nima ulikiunga, kisha nenda kavhague kujiondoa ...utanishukuru. Hata Mwaka ujao....mm milijiumgaga zaman , nikaenda mpaka pale ofisi kwao walikuwa Mikocheni pale karibu na save the children .... Nikaonana na wale wadada wanao tupigia simu, nilifanikiwa kumega mojaMiezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik)
Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to convince someone to purchase your services/business)
Sasa nilimweleza vyema huyu dada kuwa siko tayari kwa huduma hiyo kwa sasa lakini nikiwa tayari nitawatafuta, akasema hakuna shida jiunge tu ila ukitaka kuanza kunufaika na huduma zetu utapewa maelekezo zaidi, basi akawa ananipa maelekezo kama bonyeza *150*01# na kuendelea, hakutaka namba yangu ya siri ya tigo pesa ila alinambia niweke… nikaingia mkenge nikaweka (najua ni kosa nilifanya) ntaelezea mbele.
Mwezi ulivyoanza tu wakanikata pesa Tsh 9000 kwa ajili ya huduma hiyo, nikajua kosa nililofanya ni kuweka namba ya Siri meaning nilikua nimejiunga moja kwa moja…
Basi bila kinyongo nikawapigia na kuomba kujitoa na wala sikudai ile 9000 maana nilijua kosa ni langu.
Kilichonifanya niandike hapa ni kwamba yule mhudumu niliyeongea nae akaahidi kunitoa kwenye huduma hiyo wala hakunitoa nilijua hilo baada ya kuja kukatwa tena 9000 mwezi unaofata.
Sikukata tamaa nikawapigia na kusisitiza sitaki huduma hiyo hivyo wanitoa, nikawa mkali kidogo kwamba wanitoe na nikauliza kuhusu elfu 9 niliyokatwa while nimewapa taarifa tayari, yule dada akanijibu kuwa siwezi kurudishiwa pesa maana imekatwa tayari. Nikamwambia sawa naomba mnitoe sitaki huduma hii akaahidi kunitoa
Sasa mwezi huu wamenikata tena na nikipiga simu napewa majibu yale yale. Na baada ya kuwa mkali sana nikitaka kulipwa elfu 9 yangu ya mwezi huu, dada mtoa huduma ndo kanitoa.
Naomba ushauri, naanzia wapi kuwadai hawa Ts 9000, issue hapa sio kiasi kidogo hiki cha pesa, issue ni je wangapi wamepigwa au wamepitia same stuation kama mm… huu ni wizi kwakweli.
Nawasilisha
Hahahaha, ukaona isiwe tabu ukamega kamoja, mi tayari nimejitoa nashukuru mzeeMkuu uli data na zile sauti mzuri 😆😆😆 hapo ,, piga *150*01# nenda huduma za kifedha pale 7, chagua Bima, kisha chagua nima ulikiunga, kisha nenda kavhague kujiondoa ...utanishukuru. Hata Mwaka ujao....mm milijiumgaga zaman , nikaenda mpaka pale ofisi kwao walikuwa Mikocheni pale karibu na save the children .... Nikaonana na wale wadada wanao tupigia simu, nilifanikiwa kumega moja
Simu zote za huduma kwa wateja zinapaswa kurekodiwaUna uthibitisho kuwa uliwaambja wakutoe na hawakukutoa kwa miezi miwili, wapeleke mahakamani
nimejifunza asee sirudii kosaWAHUNI KWELI KWELI HAWA
Ungekuwa sio mfuatiliaji wangekukamua sana, usirudie tena kosa
Mkuu asante umenishukuru mapema !! Ila next time usi date na sauti za warembo 😆😆😆😆Hahahaha, ukaona isiwe tabu ukamega kamoja, mi tayari nimejitoa nashukuru mzee