Tigo, Biashara imewashinda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo, Biashara imewashinda?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tuko, Sep 30, 2010.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ni siku nyingi sasa naona matatizo ya Tigo yanazidi kuongezeka.
  - Upatikanaji wa network ni tatizo hata sehemu za mijini
  - siku hizi wana tatizo la mawasiliano ukipiga co unaambiwa network busy, au namba haipatikani wakati sio kweli...
   
 2. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  sure, sometimes mpaka urudie kupiga namba mara ya pili ndio unaipata.! nadhani wanahitajika kufanya uongezaji wa rooms zaidi ili watu wawe available all the times. waeja wamekuwa zaidi ila mitambo iko vile vile.
   
Loading...