Tigo bhana,eti jaza ujazwe

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
S0KPaEJn.jpg
 
Ukifuatilia sana Tigo utaacha kutumia mtandao wao.....wanapenda sana ushoga kwa kuongea kimafumbo ili tu kuwapa raha kina Auntie nanii. Wana msemo huu pia..."Ukitaka unafuu na raha shurti tumia Tigo siku zote."
Ahhah haaah mkuu,kumbe wana mambo ya ajabu sana
 
Tigo Walianzisha *Halichachi*

Airtel Wakaiga *Hatupimi*

Voda Wakaiga *Haliishi*

Sasa Hivi Tigo Wameanzisha *JAZA UJAZWE*

Halotel na Wao Wameiga *INGIZA UINGIZWE*

Airtel na Wao Washaiga *RAMBA URAMBWE*

Vodacom na Wao Washaiga *TIA UTIWE*

*Hapa Nilipo Naenda Kusajir Lain ya ZANTEL Maana Sipendagi Ujinga mm*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom