Tigo acheni wizi

TTCL kama haipo. Haisikiki hata mijini. [emoji19][emoji19]
Tatizo jamaa wako na mambo ya ki Analogy sana,,, Badala watandaze network yao maeneo yote, wao wako maeneo ya town tu,, tena baadhi ya mikoa hasa hasa yale majiji yetu,,, lkn mikoa ya kawaida huwapati...Nina laini yao nimeweka kwa droo tu asaiv, sabu mkoa niliko hakuna hata bango lao moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…