Biashara ni matangazo, sio UONGO. Walichofanya Tigo hapa ni kuwadanganya wateja wao. Au inakubalika kuwahadaa watu kwa kivuli cha 'biashara ni matangazo?'
Tena ukicheza watakuambia unadaiwa salio hivyo ukiingiza vocha wanakata ni wahuni hawana mfano!Nimepokea message kutoka Tigo Pesa:
TigoPesa! Sasa tuma pesa kwenda AKAUNTI YA BENKI YOYOTE. Piga *150*01#chagua TUMA PESA kisha chagua TUMA KWENDA BANK. Tigo Pesa tunarahisisha maisha.
Nikaona mambo si ndio haya, lakini kwenda kwenye menu ya Tigo Pesa kumbe vibenki vyenyewe ni vitano tu – TPB, BOA, ACB, Amana na CRDB. Kusema kweli hakugharimu chochote.
Wewe utakuwa unafanyakazi Tigo.
Iinitokea jana tuTena ukicheza watakuambia unadaiwa salio hivyo ukiingiza vocha wanakata ni wahuni hawana mfano!