Tigo acheni ubabaishaji, mnakera! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo acheni ubabaishaji, mnakera!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkonomtupu, Nov 29, 2011.

 1. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wakuu.
  Jumamosi nilitumiwa 150,000/- kwenye tigo pesa a/c yangu. Bahati mbaya siikumbuki password yangu kwani sijawahi itumia tangu niisajili. Hivyo ilinibidi nisubiri hadi jana j'tatu.

  Nimeenda customer care jana wakafanya yao na kunipa kikaratasi cha maelezo kuwa baadaya masaa 24 nitapokea msg then nifuate maelekezo ya kwenye karatasi ile.

  Toka jana saa 3 asbh mpaka sasa ni zaidi ya masaa 24. Nimejaribu kupiga customer care hawapokei baadaye nacheck salio nakuta wamekula sh. 800 na kitu hv huku huduma sijapata. Nifanyeje wadau
   
 2. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,265
  Likes Received: 3,105
  Trophy Points: 280
  Hehehehehe hiyo ndio tiGO mazee... kastama kea huwa haipatikani aslani...umeliwa..........POLE
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  pole mwaya yaliwahi nikuta,cha kufanya rudi tena tigo,waweza enda pale mlimani city watakusaidia,ila kiukweli tigo tupo kimazoea tu!wababaishaji mmno!
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Waizi haooo
   
 5. c

  christer Senior Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi nina hasira nao.jpili wamekula 20000 tsh sikupata sms ya udhibitisho kwa wakala na pesa hakuna.ukipiga simu ya castumer care sh 50 wanaweka mziki tu walla hupati mhudumu.sasa ukrudidrudia na salio linakatwa kubwa na shida haitatuliwi.wameniudhi sana,
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jamaa hawafai hata kidogo, natumia modem yao ya internet lakini soon nahamia somewhere else maana haieleweki, kwanza bundle sio unlimited kama wanavyodai, halafu inapokwisha kabla ya hiyo wiki mojka huwezi ku activate tena mpaka wiki iishe, what rediculous way of providing services at this age of information technology???????
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  inabidi u deactivate ile package ya mwanzo then ujiunge tena, tigo wamezidiwa na wateja ndo mana wanasema HAMIA EYOO TELL me.
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kwangu internet mara nying natumia bure. Löng live tiGo
   
 9. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  amia airtell kaka
   
Loading...