Mkuu LTE na 4G ni kitu kimoja; hilo ni chaguo tu la kampuni ya simu unayotumia kuna kampuni nyingine mfano: Samsung wataandika hapo juu 4G, lakini kuna kampuni nyingine pale juu wataandika LTE.Mbona mi kwangu voda inasila LTE View attachment 869184
Je Simu yako uliyonayo inasupport 4G?! Na Kama inasupport,je inakubali 4G Band za Tigo?!Mimi nilirenew line ya tigo kuwa 4G lakini mpaka leo inaniandikia H+.au hii 4G ni kwa dar pekee?
Huu nao ni uongo kusama 4G inapatikana kila mahali labda kama kila makao makuu ya mkoa kuna maeneo mengi tu hasa vijijini 3G haipo isipokuwa halotel.Kwa mujibu wa Tigo 4g ipo kila mahali ukitoa mikoa hii 5View attachment 869731
Mkuu simu yako ina support hio lte? Maana si kila simu ya 4g inakubali LTE-A.Habarini wanajukwaa.. kwenye pita pita zangu mtandaoni nimekutana na tangazo hili katika Page ya Facebook ya Tigo (Kama inavyoonekana kwenye Picha). Tigo inadai kuwa mtandao wa pili (Ingawa mpaka leo TTCL sijawahi ona ikifikia spidi za LTE-A) kuwa na 4G+ hapa TZ yenye theoretical speeds za hadi 120mbps. Swali langu kwa wanajukwaa, maana tumetapakaa TZ nzima je, mmeona mabadiliko yoyote ya spidi ya 4G ya tigo au na hili ni changa la macho lingine kama la TTCL?
Ahh mkuu hayo sio maneno yangu hao ni Tigo..Tunajua watakuwa wamefunga base station chache tu 4G katika maeneo yenye ROI (Return On Investment) kubwa na kuacha maeneo kama vijijini yasio na ROI.Huu nao ni uongo kusama 4G inapatikana kila mahali labda kama kila makao makuu ya mkoa kuna maeneo mengi tu hasa vijijini 3G haipo isipokuwa halotel.
Ndio inakubali, though ni simu ya zamani lakini ina LTE- A CAT 6 300Mbps/50Mbps Up/Down respectively-- naamini simu zote 2014 kwenda juu zinayo LTE-A hadi hizi budget Xiaomi zina CAT 12 600Mbps/100Mbps. Yani hapa nilikuwa nasubiria tu engineer wa tigo aniambia eneo flani/ base station flani ina 4G+ ningeenda muda huo huoMkuu simu yako ina support hio lte? Maana si kila simu ya 4g inakubali LTE-A.
Nitaleta mrejesho.
Inategemea ulipoHalotel 3G ina speed kuliko 4G ya Tigo