Siri ya ushindi wa ccm anaijua lubuvaSio hayo tu. Hata "opinion polls" za mwaka 2015 zilipoonyesha kuwa Lowassa atashindwa na Magufulu walipinga wakasema zile polls ziliendeshwa ili kuonyesha kuwa Magufuli atashinda. Bahati mbaya kwao matokeo ya uchaguzi halisi yakatoka na kuthibitisha usahihi wa opinion polls.
Ungeanza kwanza kwa kuhoji Je mvi nyingi ni kada wa CCM?? Ningekuelwa zaidi..Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Basi mlikosea kuwavna kingungeeTido sasa uzee nao unamzidi ujue kuwa uzee nao ni factor kwenye akili ya mtu
Mbona ccm bado mnaendelea kuwa tegemea mrema na cheyo?Basi mlikosea kuwavna kingungee
Mbutaaaaa jamaa hawakuachi..Yah hta mimi nimeona. Lowasa si wakumuamini anaweza kurud CCM muda wowote.
Jecha atasema nini ?Ingekuwa safi mno kama Jecha na Lubuva nao wakafanyiwa mahojiano..!
Wanataka kuhojiwa lakini wanaogopa maswali..Si mngemuoji wenyewe mkajiridhisha!
Hawajielewi wala hawajiwezi let alone kujua ni aina gani ya maswali wangetaka waulizwe....Ulitaka aulizwe maswali yepi labda ili ujue yuko neutral
Hahahaaaa mzee mrema na cheyo? Interested, wacha nisiongee kitu hapa, eti twawategemea hao jamaa hapo.Mbona ccm bado mnaendelea kuwa tegemea mrema na cheyo?
MNAOANGALIA HIYO TV MUMUOMBE AGEUKE NYUMA TUONE KAMA BADO ANAMKIAMtoa Mada Hamjui Tido
MNAOANGALIA HIYO TV MUMUOMBE AGEUKE NYUMA TUONE KAMA BADO ANAMKIAMtoa Mada Hamjui Tido
Huko kucheka inaonyesha una ufahamu ukweliHahahaaaa mzee mrema na cheyo? Interested, wacha nisiongee kitu hapa, eti twawategemea hao jamaa hapo.
Dah..nilikuwa naamini kuwa Tido ni mwandishi bora kabisa,kumbe naye subjectiveNamsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Mleta mada kauliza so ni jukumu lako kumjibuso umemjaj kwa kipindi kimoja?
tido ni adui no. 1 wa ccm
ww ulitaka kusikikia utakayo
But y should i discussing this matter with u? Nadhan naanza kupoteza uwezo wangu wa kufikir, i gave u 20%, hizo 80% tafta mwenyewe ujue y nimecheka.Huko kucheka inaonyesha una ufahamu ukweli
Hili ni jukwaa huru mkuu hivyo upo huru kuendelea ku discuss na mi otherwise unapinda tuBut y should i discussing this matter with u? Nadhan naanza kupoteza uwezo wangu wa kufikir, i gave u 20%, hizo 80% tafta mwenyewe ujue y nimecheka.