Tido Mhando ni kada wa CCM?

Tido Mhando ni kada wa CCM?

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
1,871
Reaction score
1,241
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.

Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!

He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
 
Tido huwa harembi,
Na hapendelei ccm, anakutandika na issue jinsi zilivyo.
Fuatilia ujue kilichomtoa TBC
Najua kilichomtoa, sasa anajaribu kutubu kwa kumhoji mbaya wa CCM kuonyesha maswali ya kujikomba. Usiseme kuwa Magufuli anafanya vizuri, umeshahukumu tayari, umempa sifa tayari magufuli. muulize unaonaje utendaji wa Magufuli? This is the right question!
 
Tatizo nikuwa mnataka afanye mtakavyo ninyi
Mmejengeka vibaya sana
Mtu akiisema vibaya serikali kwenu mnamuona anafaa,
Lakini akimsema mnaemtaka mnaona hafai.

Hamjampa kazi nyie hivyo muache afanye vile anavyo on a ni sawa
 
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!

Exit yake TBC ilikuwa ya maumivu na fedheha sana, kwa hali ya sasa hivi anahisi wanamfuatilia; Anajaribu kucheza salama kulinda maslahi ya mwajiri wake asije ku_antagonize tajiri yake na serikali ya hapa kazi tu!
 
Hawa tatizo hawapendi kukosolewa unakumbuka ata Salim kikeke alivomhoji jamaa akabwabwaja walisema et n CCM au katumwa?

Sio hayo tu. Hata "opinion polls" za mwaka 2015 zilipoonyesha kuwa Lowassa atashindwa na Magufulu walipinga wakasema zile polls ziliendeshwa ili kuonyesha kuwa Magufuli atashinda. Bahati mbaya kwao matokeo ya uchaguzi halisi yakatoka na kuthibitisha usahihi wa opinion polls.
 
Exit yake TBC ilikuwa ya maumivu na fedheha sana, kwa hali ya sasa hivi anahisi wanamfuatilia; Anajaribu kucheza salama kulinda maslahi ya mwajiri wake asije ku_antagonize tajiri yake na serikali ya hapa kazi tu!
Wewe ni philosophical, kama umemsikiliza unaona kabisa kuwa kuna hali ya kutubu, kuifurahisha serikali. Unceremonial exit aliyoi-experience imemjengea woga. Kama ulivyosema akifanya mchezo anahatarisha mahusiano ya mwajili wake na serikali particularly katika era hii ya viashiria vya udikiteita!
 
yaani weee akili yako ni kama kuku anataka ahoji unavyotaka wewe,Tido ni senior journalist anajua angle za maswali,punguza ushabiki baba
Being senior is not and does not prove or guarantee perfection! Anaowatumbua JPM ni senior! Unasemaje
 
Wewe ni philosophical, kama umemsikiliza unaona kabisa kuwa kuna hali ya kutubu, kuifurahisha serikali. Unceremonial exit aliyoi-experience imemjengea woga. Kama ulivyosema akifanya mchezo anahatarisha mahusiano ya mwajili wake na serikali particularly katika era hii ya viashiria vya udikiteita!
Yah hta mimi nimeona. Lowasa si wakumuamini anaweza kurud CCM muda wowote.
 
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!

Si mngemuoji wenyewe mkajiridhisha!
 
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Wewe ukapimwe sio bure. Ulitaka ahoji vp ili aonekane ni Chadema?

Kifupi kahoji neutral, hajamgandamiza Lowassa hata kidogo na kampa nafasi sawia ya kutoa ufafanuzi kwa Yale aliyomuuliza.
Vijana mtulize Akili mnapokua mnasikliza jambo flani.
 
Najua kilichomtoa, sasa anajaribu kutubu kwa kumhoji mbaya wa CCM kuonyesha maswali ya kujikomba. Usiseme kuwa Magufuli anafanya vizuri, umeshahukumu tayari, umempa sifa tayari magufuli. muulize unaonaje utendaji wa Magufuli? This is the right question!
Kwani Lowassa kashikiwa mdomo?
Alikua huru kupinga serikali Ya Magufuli haifanyi vizuri na hakuna chochote kibaya kitamtokea.
 
Back
Top Bottom