Tido Mhando kumhoji Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Jumapili 10/07 saa tano asubuhi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Azam 2 kesho jumapili ya tarehe 10/07/16 saa tano asub atakuwa akimhoji dr tulia ackson katika channel ya azam two.

Tukutane hapa haya ndo mahojiano ya kwanza kabisa tangu mwanadada huyu wa kinyakyusa awe naibu spika.
 
Azam 2 kesho jumapili ya tarehe 10/07/16 saa tano asub atakuwa akimhoji dr tulia ackson katika channel ya azam two.

Tukutane hapa haya ndo mahojiano ya kwanza kabisa tangu mwanadada huyu wa kinyakyusa awe naibu spika. Kiukwel amesababisha dada zetu weng wa kinyakyusa wakose soko katika suala la mahusiano na ndoa.
Amesababshaje wakose hela
 
Azam 2 kesho jumapili ya tarehe 10/07/16 saa tano asub atakuwa akimhoji dr tulia ackson katika channel ya azam two.

Tukutane hapa haya ndo mahojiano ya kwanza kabisa tangu mwanadada huyu wa kinyakyusa awe naibu spika.

Anaweza akapindisha mori kama mzee Makamba
 
Azam ni hovyo, haina coverage ya kutosha kuona ujinga wa huyu dada . Waiweke ITV au STAR
Inabidi wabadilike ili hata mwenye DSTV awaone, mwenye star Times awaone Azam hata mwenye Continental
 
Inabidi wabadilike ili hata mwenye DSTV awaone, mwenye star Times awaone Azam hata mwenye Continental
those are business brand,usiangalie kwa jicho moja...hawatoi huduma,its business..DSTV unapata tabu kuangalia non sense zanje hujajua whats is going on your locality...huu ulimbukeni huwa ni mzigo sana,mkoloni mtu mbaya sana..mpaka leo athara zike naziona!!
 
Isije ikawa ni mbinu ya ya kujikung'uta vumbi walau aonekane nae ktk watu kuwa ni msafi kiduuuuuchu....
 
Hapo ilikubalansi mjadala, ilikuwa na

-weledi

-Afya

-Mantiki

-ukweli na tija kwa watanzania wote

Bila kudanganya au kutumika kama daraja la kujisafisha, inatakiwa awepo muwakilishi wa upande wa pili kama

Lisu au

Zito au

Mbatia au

Msigwa

Otherwise ni blah blah za kutokea....Dastan Tido Muhanda wa siku zile sio huyu wa leo

Umri na misukosuko vimemlanisha hana makasheshe na mirindimo mizito ya kutikisa kiota cha Pombe zaidi ya kukitakasa

stay tuned.
 
We utakuwa teminator,for this kind of reasoning...sema una king'amuzi cha azam,ukacheck kwa jirani au mwenyekiti wa mtaa!
Hiyo siyo issue, cha maana ni kwamba Azam wako kiajabu hawachanganyiki na station nyingine.
Mbona ITV wanapatikana Channel 10, STAR TV na kinyume chake. Unataka kuniambia nirundike vingamuzi vyote nyumbani kwangu kwa ajili ya Tulia?
 
Back
Top Bottom