Sidhani kama kubadili jina toka RTD kwenda TBC Taifa, ndo imeleteleza tatizo la "kutosikika", kama unavyodai wewe!!!!Nikiwa mdau wa habari, nasikitika kusema kwamba pamoja na sifa zote alizojizolea, Bw. Tido Mhando alikosea sana kubadili jina kutoka RTD ililozoeleka sana kwenda TBC Taifa. Matokeo yake sasa, hiyo TBC Taifa imepoteza mvuto, mwelekeo na wasikilizaji wengi huko vijijini hawaipati. Wanashindwa kuitofautisha hiyo radio na FM stations!
Mi nadhani kwa mambo ya Kitaifa kama haya, siyo vizuri mtu akakurupuka tu na kuanza kubadilisha vitu ambavyo vilikuwepo hata kabla hajazaliwa. Kungelikuwa na maoni na mijadala ya Kitaifa kabla ya kufikia huo uamuzi. Napendekeza jina la RTD lirejeshwe maramoja.
Nikiwa mdau wa habari, nasikitika kusema kwamba pamoja na sifa zote alizojizolea, Bw. Tido Mhando alikosea sana kubadili jina kutoka RTD ililozoeleka sana kwenda TBC Taifa. Matokeo yake sasa, hiyo TBC Taifa imepoteza mvuto, mwelekeo na wasikilizaji wengi huko vijijini hawaipati. Wanashindwa kuitofautisha hiyo radio na FM stations!

Tujikumbushe kidogo:..siyo vizuri mtu akakurupuka tu na kuanza kubadilisha vitu ambavyo vilikuwepo hata kabla hajazaliwa....
The radio station was known as Sauti ya Dar es Salaam, meaning the Voice of Dar es Salaam. In August, 1955 the British colonial government brought in new and more powerful transmitters, which covered not only Dar es Salaam but also other provinces (regions).At that time (1955) the colonial government changed the name from Sauti ya Dar es Salaam to Tanganyika Broadcasting Services (TBS). A year later on July first 1956 the station changed its name from TBS to Tanzania Broadcasting Corporation, (TBC).
Nine years later on March 17th, 1965 the National Assembly passed a bill changing the name of the broadcaster from TBC to Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD).The name was changed officially on the 1st of July, 1965 after the changes were published in the official gazette
so reverting where we had been, implies we have exhausted all the names; however the current name gives a room for expansion and thus matches with the services provided by the corporation rather than being RTD which dictates provision of redio broadcasting alone!
TBC haisikiki kwa sababu ya kubadili jina kutoka RTD kwenda TBC!!!!!!!! sasa ni wakati muafaka tuanze kupata ma Great thinkers kwa njia ya usaili badala ya U great thinker utokanao na uwezo wa kukariri Use name na password ya ku login!
Ni kweli, najua vizuri. Lakini hilo jina halikukaa sana. Wengi walilizoea RTD kuliko hiyo TBC ya zamani
Nikiwa mdau wa habari, nasikitika kusema kwamba pamoja na sifa zote alizojizolea, Bw. Tido Mhando alikosea sana kubadili jina kutoka RTD ililozoeleka sana kwenda TBC Taifa. Matokeo yake sasa, hiyo TBC Taifa imepoteza mvuto, mwelekeo na wasikilizaji wengi huko vijijini hawaipati. Wanashindwa kuitofautisha hiyo radio na FM stations!
Mi nadhani kwa mambo ya Kitaifa kama haya, siyo vizuri mtu akakurupuka tu na kuanza kubadilisha vitu ambavyo vilikuwepo hata kabla hajazaliwa. Kungelikuwa na maoni na mijadala ya Kitaifa kabla ya kufikia huo uamuzi. Napendekeza jina la RTD lirejeshwe maramoja.
kwani watu wanasikiliza au kuangalia jina la kituo au CONTENT ZA PROGRAMS za kituo?
TBC ni kifupi cha Shirika la utangazaji la Taifa na RTD ni kifupi cha Redio Tanzania Dar-es-Salaam, nafikiri unaweza kuiona tofauti yake.
kumbuka wakati huo RTD haikuwa na kituo cha Televisheni na sasa TBC ina televisheni huwezi kuiita redio ya dar-es salaam tena??!! AMKA.