ndo mjue tofauti ya kanumba na wasanii wengine ki tabia.
kosa ni clouds kurusha live wangekuwa wanaangalia akili za wa2 wa kuwarusha live.mbona redio station nyingi hata m2 akitukana wanaedit kabla ya kurusha hewani?inatakiwa warecord kwa hata dk 5 waedit.pumba wamwage mchele waurushe hewani
Alishafungwa huyu! kwa hiyo si ajabu kwake kutukana!Habari ni kuwa sud brown, alikuwa katka kpnd chake u-heard, ambapo almzungumzia msanii wa kund la top band, linaloongozwa na t.i.d, ambaye kavunjka mguu na kwamba wasanii wenzie wa kund hilo akiwemo na boc wake(tid) hawajah kumjulia khal, achilia mbal kumpigia cm ya pole, t.i.d alipopigiwa cm na sud brown, almjbu kwa kumwambia aache us*nge wake wa kumfuatilia na hzo habar awatafute was*nge wenzie awaulizie hzo habar za ks*nge, ilikuwa hewan live.
ndo mjue tofauti ya kanumba na wasanii wengine ki tabia.
Kile ki-Segment cha yule Dogo Soud Brown>>
"YOU HEARD" kimekaa KI-NYWANYWI NYWANYWI SAAANA.. Kama Hujatuliza Mlege waweza-pigana.
Maana anaanza "Tiiiiiili tilitilitiii...x4 (Siiiiri imefichuka...4)kisha WALE WA GOSSIP... WALE WA GOSSIP... baaada ya hapo ETI ETI ETI... inaudhi sana kama anaku-interview ww maana anapiga za chini ya BELT...
kweli shule muhimu sana...
Tatizo la Clouds ni kwamba kile kipndi cha U-Heard kumbe huwa ni laivu na mm nilikuwa sijanote kama ni laivu, kwa hivyo kwa vyovyote vile Clouds FM wasingeweza kuedit wakati mtu yupo live kwenye simu
kuna mtu aliwahi niambia kuwa huyu soud brown masaburi yake yalishachezewa sasa sijui kama ni kweli?
acha upuuzi wako, shule na ukosefu wa adabu/maadili ni vitu viwili tofauti....vijijini kumejaa watu wasiosoma lakini ndiyo wanoongoza kwa kwa adabu na maadili mema wakati mijini kulikojaa wasomi ndiko kwenye washenzi na wapuuzi waliopituka kiwango.
Stress noma!mkali wangu anapanic akiona young blood kina platinumz wanavyorun town...
haina uhusiano na mada,au ndo tuseme platnums kakuteka sana?
haina uhusiano na mada,au ndo tuseme platnums kakuteka sana?
nadhan watangazaj wetu kuna jambo wanakosea. kawaid mtu anapotakiwa kuhojiwa ni vyema akaandaliwa kwa kujuzwa then kama atakuwa willing kujibu unaweza kurusha hewan