Ticket za mechi ya kirafiki Taifa Stars vs Botswana

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,168
779
Jamani mwenyewe taarifa ticket zinapatika wapi ili nijipange. Nataka nikatoe stress za week hii
 
JJamani mwenyewe taarifa ticket zinapatika wapi ili nijipange. Nataka nikatoe stress za week hii
Inaonyesha jinc gan ulivo mbal na mambo ya soka mkuu,yaan ad Leo wauliza ticket? Weka Salio selcom nunua ticket ingia taifa.ndo habar ya mjin
 
Inaonyesha jinc gan ulivo mbal na mambo ya soka mkuu,yaan ad Leo wauliza ticket? Weka Salio selcom nunua ticket ingia taifa.ndo habar ya mjin
Du!! yaani niko nyuma kiasi hiki? Unajua toka nilipokuta vurugu taifa hadi kuibiwa simu yangu tena nikiwa na mgeni nilikataa kufuatilia Timu za ndani. Niliposikia tena kuna watu wameng'oa viti ndo kwanza nika switch off ligue ya Tanzania. Sasa kumbe kuna ka utaratibu ka kistaarabu?
Sasa altenatively kama sina kadi hiyo ninafanyaje? Naweza kununua kwa selcom vendor hawa wa mitaani?
 
Back
Top Bottom