Hisabati.maana lazima kitu kisahihishwe
haiwezi kuwa hisabati hiyo, manake apo darasa Zima wamekusanya
sonnita labda uniambie hilo darasa lina wanafunzi mia tano, kwa kawaida darasa lenye wanafunzi say 100 wanafunzi wengi sana kukusanya madaftari ya hisabati hawawezi kuzidi 30.Ndio maana yake sasa.hisabati si kila mwanafunzi anasoma?(primary)
Au ulizania wapi Sangarara?