funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,421 Reaction score 31,922 Sep 16, 2018 #61 Aliyekudanganya kuwa nchi itaendelezwa na wawekezaji ni zwazwa
Kilongawima Member Joined May 23, 2018 Posts 61 Reaction score 28 Sep 16, 2018 #62 Tetesi ubakia kuwa tetesi tu sio habari.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,151 Reaction score 196,899 Sep 16, 2018 #63 Inawezekana ikawa sera za uwekezaji siyo rafiki... Au watu walizoea kuingia mikataba ya hovyo hovyo sasa mambo yamekua tight wanajifanya kuchungulia na kupita... Cc: mahondaw
Inawezekana ikawa sera za uwekezaji siyo rafiki... Au watu walizoea kuingia mikataba ya hovyo hovyo sasa mambo yamekua tight wanajifanya kuchungulia na kupita... Cc: mahondaw