Kuna makazi huwa yana mambo kweli kweli.
Kuna ardhi ukizichungulia rohoni unakuta zinalia, nyingine zina agano la kuondoka na mtu kila mwaka.
Nyingine ni ardhi zinazokataa watu wake na wanakuwa ni watu wa kutanga tanga.
Haya nimesyashuhudia.
Kingine ambacho wanadamu wanakipuuza ni ile laana aliyopewa Nyoka ya kula mavumbi ya ardhi maisha yake yote kipindi cha Anguko la Adam.
Kiroho laana ile inampa Nyoka(Shetani) uhalali wa kutafuna mwili wa mwanadamu(mavumbi) maisha ya nyoka yote.
Kwa hiyo ukijichanganya tu, jamaa anakuja na ana haki hiyo maana alipewa hilo, sema sisi tulipewa pia haki ya kumponda kichwa japo hatuitumii haki hii.
All in all ardhi ina kinywa cha kunena, ardhi ina sikio la kusikia.
Ardhi ikikukataa kwa sababu ya damu zilizomwagwa juu yake au dhuluma iliyofanyika hapo hata ufanye hipi hutoboi....
Na bahati mbaya sana tunamwaga uhai wa vitu(damu) katika ardhi hio hio.
Mungu atusaidie kwa kweli.
Na kwa bahati mbaya sana tunapojaribu kurekebisha mambo...tunazidi kuharibu kwa kuzidi kumwaga damu isiyo hatia ya wanyama na kulisha viumbe vya kuzimu bila kujijua...navyo kwa uroho wao vinapambanaHili ni la muhumi sana Mshana Jr 'ibada za kutakasa ardhi na makazi'...
Okay poa sana.Pamoja na hilo lakini pia tiba ya chumvi ni very crucial
Kutakasa ardhi kwa kutumia tiba ya chumvi unaitumia vipi mkuu?Pamoja na hilo lakini pia tiba ya chumvi ni very crucial
Shamba ama kiwanja unachanganya na maji ama kuinyunyiza kama ilivyo kwenye pembe zote nne na katikati ....pia kuzunguka mipaka yoteKutakasa ardhi kwa kutumia tiba ya chumvi unaitumia vipi mkuu?
Naweza nuia kupata kitu fulan nanikapata kupitia chumviShamba ama kiwanja unachanganya na maji ama kuinyunyiza kama ilivyo kwenye pembe zote nne na katikati ....pia kuzunguka mipaka yote
Kwenye makazi ni hivyo hivyo kuzunguka nyumba nzima ndani na nje
Mmh!!!Naweza nuia kupata kitu fulan nanikapata kupitia chumvi
Huo nao ni ushirikina kama ushirikina mwingine tu! Maana mtu anatoka kwa mganga akiwa na hirizi zenye nywele zake na masizi ya zindiko na wewe unatoka kwa nabii ukiwa na kifurushi cha udongo au chumvi iliyofungwa kwenye tambara,ukiwa na chupa yenye maji yaliyonenewa,ukiwa na chupa ya mafuta,ukiwa na chupa ya fruto iliyoombewa,ukiwa na matambara ya nguo za ndugu yako ulizopeleka kwa "NABII"wa kanisa la magunia ili amshughulikie nk!hapo sioni tafauti hata!Kutakasa ardhi kwa kutumia tiba ya chumvi unaitumia vipi mkuu?
Mimi sio nabii na chumvi sio ushirikina ...hata kwenye Bible inatajwa kama kiua mapoozaHuo nao ni ushirikina kama ushirikina mwingine tu! Maana mtu anatoka kwa mganga akiwa na hirizi zenye nywele zake na masizi ya zindiko na wewe unatoka kwa nabii ukiwa na kifurushi cha udongo au chumvi iliyofungwa kwenye tambara,ukiwa na chupa yenye maji yaliyonenewa,ukiwa na chupa ya mafuta,ukiwa na chupa ya fruto iliyoombewa,ukiwa na matambara ya nguo za ndugu yako ulizopeleka kwa "NABII"wa kanisa la magunia ili amshughulikie nk!hapo sioni tafauti hata!