mama grace
Member
- Jan 20, 2020
- 65
- 297
Hospital unamuona daktari wa uzazi au general doctor? Kama ulimuona daktari wa uzazi hakukushauri uende na mume wako?Hospitali nimeenda ndugu zangu na naambiwa sina tatizo ndio maana nikaja hapa kuomba ushauri kwa ambae ashawahi pitia hii hali au mwenye kujua
Wanaume wanadhani wao hawana matatizo ya uzazi ila wanayo na yanatibika nenda na mume wako mpate vipimo wote wawili
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app