Tiba ya ugonjwa wa MATENDE


S

SukariTamu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
297
Likes
5
Points
0
S

SukariTamu

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
297 5 0
Habari wakuu..Ninaomba kuuliza hivi ni Kweli hakuna tiba kabisa ya huu Ugonjwa wa MATENDE?
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,676
Likes
2,792
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,676 2,792 280
Ugonjwa unatibika tena bure kabisa na kwa dawa rahisi sana kutegemeana na anapoishi mgonjwa. Kama unamjua ama una ugonjwa huu au hata dalili, wahi hospitali yoyote ya serikali. Mayibabu yake sio ya vidonge tu, lakini yana maelezo marefu ya lifestyle ambayo inabidi kupata kutoka kwa daktari.
 
S

SukariTamu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
297
Likes
5
Points
0
S

SukariTamu

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
297 5 0
SHUKRANI...sana ndugu yangu
 

Forum statistics

Threads 1,273,258
Members 490,344
Posts 30,475,511