#TIBA_YA_MAUMIVU_YA_MGONGO_KIUNO_MIGUU__NYONGA_NA_MAUNGIO_MENGINEYO_BILA_MADHARA
Bila shaka umesha msikia ndugu yako, rafiki au mtu wako wa karibu wakilalamika kuuma kwa MAUNGIO kama #MAGOTI(Knee Joint), #NYONGA, #BEGA(Shoulder Joint) #KIUNO NA #MGONGO. Wako pia wanaolalamika maumivu ya maungio ya #kisigino(Ankle Joint)
.
Inasemekana kwamba kuna zaidi ya watu bilioni nne duniani wana sumbuliwa na matatizo ya viungo( MAUNGIO)
Ambapo wanawake ni 18% na wanaume ni 9.6%
Kawaida katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao synonvio fluid ambao kazi YAKE ni kulainisha MAUNGIO pia kuna kitu kama sponji kiitwacho catilage (gegedu) ambayo Kazi YAKE ni kufanya mfupa na mfupa visisagane hivyo sponji hii na ute ute juu ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salaam salimini
TATIZO hili kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS(OA) hutokea pale ambapo gegedu(cartilage) kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana hii husababisha maumivu
#CHANZO_CHA_TATIZO
.•Umri
•Uzito
•Kuumia Kwa Kupata ajali
•Kurithi (genesis)
•Wafanya mazoezi/wana michezo. .
#endapo_usipotibu_tatizo_hili_kuna_uwezekano_mkubwa_wa_kufanyiwa_upasuaji na kuwekewa #cartilage za bandia ambapo kimsingi ni gharama kubwa sana
MATIBABU
#Aloe capsule
#High calcium
#Natural liquid calcium
#Spirulina,Gyrofora tea na Fish oil. Hizibidhaa asili zinazoongeza ute ute kwenye maungia na kuziponya cartilage(sponji zinazozuia mifupa kusagana) na Huondoa maumivu ya maungio kabisaaaa
.
.
. -Huongeza GLUCOSE AMINE ambayo huunda upya cartilage(sponji zinazolinda mifupa isisagane
-Huongeza CHRONDROITIN ambayo hutumika kutengeneza ute ute kati ya maungio
-Huondoa kabisaa maumivu ya maungio yaliyokithiri can
-Ni nzuri sana kwa MTU mwenye TATIZO LA ATHRITIS
-Huwakuta sana watu wanaofanya mazoezi. Pia tunatoa huduma za vipimo vya mwili mzima kwa tsh15,000. Mawasiliano Ni 0718069047/0688184620.Tupo Dar essalaam.Mnazi mmoja karibu na kituo cha bus zinazoenda gongo la mboto.
Sent using
Jamii Forums mobile app