Tiba ya Piles | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba ya Piles

Discussion in 'JF Doctor' started by Mhafidhina, Sep 20, 2010.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani mpo?

  Madaktari na wataalamu naomba msaada wa nini chanzo cha Piles na matibabu yake ambayo yanaweza kuiondoa/kuziondoa piles moja kwa moja.

  Mdau
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Piles yako ni ya kutoka nje kwenye sehemu yako ya siri au unatowa damu wakati wa kwenda haja kubwa? Ushauri wangu nenda Hospital ya Hindu Mandal kuna Ma Doctor watakufanyia operation ya kuiondowa kabisa na ikiwezekana uwe unakula vyakula vilaini ili uweze kupata haja kubwa kwa wepesi. piles au kwa Lugha yetu ya kiswahili inaitwa Bwawasiri au Futuru ni maradhi ya kawaida hayo nenda Hospitali kufanyiwa Operation.
   
Loading...