Tiba ya kiungulia sugu..

KERRY e

New Member
May 21, 2016
3
0
Ndugu zangu nasumbuliwa sana na kiungulia nimejar kwenda hospitali lakin sijapata nafuu kabisa...naomba anayefahamu tiba ama doctor wa kuweza kunisaidja nikapona hili tatizo.
 
1076918


Hii ndiyo tiba
 
Tafuta bicarbonate soda weka kijiko moja kwa maji glass moja koroga vyema tumia kila unapopata kiungulia
 
Back
Top Bottom