Shikeni hapo kwenye Nyekundu nafikiri ndo ushauri wake!Hili ni tatizo la kujitakia kabisa! Linatokana na kula vyakula vilivyochakachuliwa. Wale wazee wa zamani wanaweza kunisapoti.
Vyakula kama ugali wa mtama, ulezi, mahindi yasiyokobolewa, pia ndizi, matunda asilia, mboga silia, asali n.k. huondoa tatizo hilo bila hata kutumia dawa.
nzowa nakuona kama upo igamba pale. well, ushauri mzuri.kuanzia sasa ni dona tu na mayai ya kienyejiHili ni tatizo la kujitakia kabisa! Linatokana na kula vyakula vilivyochakachuliwa. Wale wazee wa zamani wanaweza kunisapoti.
Vyakula kama ugali wa mtama, ulezi, mahindi yasiyokobolewa, pia ndizi, matunda asilia, mboga silia, asali n.k. huondoa tatizo hilo bila hata kutumia dawa.
Mzizi Mkavu hawezi kuwa na ID mbili ondosha wasiwasi huyo kama jina lake lilivyo anaitwa GAZETI siyo mziziMkavu huyoMzizi kaja na ID nyingine.
Mkuu gazeti umeleta jambo la kheri ila kama mchangiaji alotangulia alivyosema we umekuwa wa kwanza kuibania mada.so please funguka kila kitu na hasa upande wa pili wa issue ya maumbile hili janga details na ushahidi please wachangiaji tunufaike.
Wakuu natafuta Contact za yule mama kwani mara ya mwisho nilionana nayeMkuu GAZETI, wewe binafsi umekiri kwamba hili tatizo ni kubwa katika Jamii sasa badala ya kuweka wazi huyo daktari unayemfahamu, unataka watu waku pm- mimi nadhani kwa faida ya wasomaji wa JF, members na wasio members ni bora ukaweka contact za huyo mama wazi kwa wote kuona, kumbuka wasomaji wa JF wasio members hawawezi kuku Pm, sasa je hao nao utawasaidia je?- weka info wazziwazi
Wakuu natafuta Contact za yule mama kwani mara ya mwisho nilionana naye
mwaka 2000. Kama yuko hai nitazipata tu si tatizo kubwa. Na huyu wa pili ni
Jambo la kuvuta subira tu after few days nitaweka wazi hapa jukwaani!
Wakuu natafuta Contact za yule mama kwani mara ya mwisho nilionana naye
mwaka 2000. Kama yuko hai nitazipata tu si tatizo kubwa. Na huyu wa pili ni
Jambo la kuvuta subira tu after few days nitaweka wazi hapa jukwaani!
kuna ndugu yangu anatatizo ilo so nimekupm.Ni wazi kuwa hili tatizo ni kubwa kuliko tunavyolichukulia, hii inasababisha thread za hili
Kuwa nyingi. Si hapa Jf tu, tafuta kwenye Blog mbalimbali utagundua ukubwa wa
matatizo haya.
Binafsi napendekeza hii thead iwe sehemu muafaka ya watu kuleta wanayoyafahamu
juu ya Tiba za Nguvu za kiume na maumbile madogo kama ipo dawa.
Zipo dawa nyingi za tatizo hili, kwa wale ambao wamewahi kutumia dawa mbalimbali
si vibaya wakatuletea majina ya dawa hizo jinsi zinavyofanyakazi, upatikanaji wake n.k
Binafsi nazifahamu dawa kama - RIJALI, KIFARU, KOMBORA, MAAJUNI, SUPER SHAFT,
KIBOKO, SIMBA n.k. Ni majina yanayovutia na kusisimua kwa mtumiaji lakini sifahamu
utendaji wa dawa hizo.
Pia namfahamu mama mmoja ambaye ni mtaalamu wa tiba za asili huyu mama alimtibu
jamaa mmoja ambaye alikuwa hafanyi kazi kabisa (Jongoo hapandi mtungi) namfahamu
na ni tukio ambalo nina ushahidi nalo (kama una tatizo hilo ni PM nikufahamishe anapatikana
wapi huyo mama)
Pia yuko Bw.Mdogo fulani kama miaka 20 au 24 hivi yeye alikuwa nafanya MASTURBATION
Kwa muda mrefu matatizo aliyoyapata ni macho, pia nanihii ikarudi na kuwa ndogo sana pia
ikawa haisimami kabisa. Akapelekwa Muhimbili ambako hakupata Tiba ya uhakika lakini
Jamaa Akatafuta dawa ya asili ambayo ilichanganywa na asali. Dogo hali yake imerudi kawaida
Namtafuta yule Jamaa nina uhakika ndani ya Wiki moja nitakuwa nimempata na kuileta hapa
Jukwaani aina ya dawa aliyoitumia na alikoitoa.
Haya wadau naomba michango yenu !
Kutokana na maelezo ya Bw. GAZETI nashindwa kumuelewa.
Amesema mwenye kuhitaji contact za huyo mama anaweza kum-PM ili amuwezeshe kumpata, sasa tena imekuwa
anatafuta contact na pia ametanguliza kuwa yawezekana amishafariki, Isipokuwa huyu wa pili hawezi kuwa amefariki hivyo
anatuomba tuvute subira kwa few days.
Tusubiri tuone kama hizo contact zitapatikana.
Pia yafaa tujipange kabl ya kuanzisha thread zenye mvuto kama hii.
Nawakilisha.
hahah! duh, sasa watu wa ku"pm", wakati huna hizo contact na hujui kama huyo daktari yuko hai au marehemu!
Mzizi Mkavu hawezi kuwa na ID mbili ondosha wasiwasi huyo kama jina lake lilivyo anaitwa GAZETI siyo mziziMkavu huyo