Umenifurahisha sana, juzi nimesoma kibao cha tangazo la biashara kinasema hivi:-
"Mganga kutoka Sumbawanga anatibu yafuatayo
1.Kisukari
2.Pumu
3.Kuolewa haraka
4.Kufanikiwa kibiashara
5.Kumwita mliyepoteana
6.Nguvu za kiume"
Palipo nishangaza ni hapo kwenye blue hayo ni magonjwa gani?