Tiba mpya yagundulika ni rahisi na nzuri kwa magonjwa sugu!!

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
Mwilini mwako unahisi vitu vinatembea umepimwa hakionekani kitu.Umehamaki hujui la kufanya.Umepimwa una cancer,Ukimwi a.k.a Miwaya hujui la kufanya. Jibu ni NJOO UFANYIWE MAOMBI NJOO UWOMBEWE TATIZO LAKO NI DOGO HILO.by bonny mwaitege.
 
khaaa kumbe maombi nilijua sijui ni nini haya maombi yapo kanisa gani..
 
Mwilini mwako unahisi vitu vinatembea umepimwa hakionekani kitu.Umehamaki hujui la kufanya.Umepimwa una cancer,Ukimwi a.k.a Miwaya hujui la kufanya. Jibu ni NJOO UFANYIWE MAOMBI NJOO UWOMBEWE TATIZO LAKO NI DOGO HILO.by bonny mwaitege.
Imegunduliwa lini?
 
Umenifurahisha sana, juzi nimesoma kibao cha tangazo la biashara kinasema hivi:-

"Mganga kutoka Sumbawanga anatibu yafuatayo
1.Kisukari
2.Pumu
3.Kuolewa haraka
4.Kufanikiwa kibiashara
5.Kumwita mliyepoteana

6.Nguvu za kiume"

Palipo nishangaza ni hapo kwenye blue hayo ni magonjwa gani?
 
Na kuachwa haraka dawa zikichuja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom