Tiba mbadala



Mbona mm najaribu hapa inakataa??
 
Kweli jamaa yupo sahihi,nimefanya hilo zoezi tangu mwaka 2009,ninaweza kukaa zaidi ya saa 1 au mpaka naamua mwenyewe!
Kwa kina zaidi tafuta kitabu kimeandikwa UFUNDI KATIKA KUPENDA,mwandishi Dr PAUL NELSON wa kliniki ya afya ya mapenzi MWANZA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…