mhogo mtamu3
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 344
- 250
Nilikua naomba kuuliza kuhusu tiba mbadala ya ugonjwa wa typhoid maana ni wa muda mrefu karibu miaka 5 kila nikipima upo na nimeshatumia dawa zote adi sindano but tatzo bado lipo. Ushauri wenu ni muhimu sana