TIA v/s IAA

Nicky nicky

Senior Member
Aug 20, 2011
106
9
Ninataraji kujiunga na masomo ya postgraduate diploma in procurement and supply mwaka huu.Ombi langu ni kufahamishwa juu ya chuo kitakachonifaa kati ya Tanzania institute of accountancy au Institute of accountancy Arusha.ningependa kupata sababu za hoja zako ili nifanye uamuzi.Asante.
 
Inawezekana huna washauri; tofauti kati ya Post Graduate na Masters ni kuwa Masters wanafanya research/Dessertation wakati PGD hawafanyi Research / Dessertation. Nakushauri jipange ufanye Masters kama una uzoefu wa kazi wa kutosha
 
Mkuu, kumbukat pia sio kila mtu ana sifa yakuingia Masters bila kupitia PGD, hivyo ungemshauri kulingana shauri lake.
 
Ana GPA ya ngapi kwanza ndio afuate huo ushauri wa kuchukua masters?
 
Mkuu, kumbukat pia sio kila mtu ana sifa yakuingia Masters bila kupitia PGD, hivyo ungemshauri kulingana shauri lake.

Nimemalizia ...kama ana uzoefu wa kazi wa kutosha. Vyuo vingine mbali na hizo GPA zenu wanaangalia uzoefu wa kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom