Tia neno kama hauogopi

Huyo chatu alikua kashiba au!?
 
kuna binadamu wana roho ngumu.... mmmh ningekuwa nimeloa mkojo hapo
 
Huyo ni mtoto tu, mtu mzima huwezi kurisk hivyo mkuu

hadi mwili unasisimka loh... yawezekana piawe unaweza malalia nyoka hata kama hana sumu? kwa snake park ukienda unaweza mbeba?
 
hadi mwili unasisimka loh... yawezekana piawe unaweza malalia nyoka hata kama hana sumu? kwa snake park ukienda unaweza mbeba?
Sasa Mwili usisimke kwa ajili ya nyoka huyo tu? Na ungemuona yule "nyoka" mwingine ungesemaje?

Nadhani kuna vitu ambavyo unaweza kusisimka
 
sasa mwili usisimke kwa ajili ya nyoka huyo tu? Na ungemuona yule "nyoka" mwingine ungesemaje?
yule wameshamzoea haswaa hata hawamwogopi tena wanasema vingine ni koboko havina sumu na hawaviogopi kabisa
 
hakuna cha ujasiri wala nini ila nyoka mwenyewe anamsubiri ndogo akue ili apate nyama nyingi wala hana shida ya kula kitu ambacho hakitofika tumboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…