wakuu naomba msada nina simu yangu ya sony ericcsson min huwa inajiweka file linaloitwa thumbnaildata ambalo lichukua space kubwa mpaka 1gb nikifuta linajirudia naombeni msaada wa kutatua hili tatizo
wakuu naomba msada nina simu yangu ya sony ericcsson min huwa inajiweka file linaloitwa thumbnaildata ambalo lichukua space kubwa mpaka 1gb nikifuta linajirudia naombeni msaada wa kutatua hili tatizo
hyo thumbail data huwa lnajtengeneza hasa kutokana na matumizi makubwa ya media n galary... Na szan kama kuna way ya kuzuia kujitengeneza maana hyo n system folder!! Tusubiri wadau watujuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.