SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 551
- 1,304
Je,unakumbuka ngoma gani kali ya zamani (bongo flava) au East African muziki wa kizazi kipya?
Mimi naukumbuka wimbo 'Baby Girl' wake Mad Ice.
Wyre ft NaziziKenyan Boy, Kenyan Girl - Necessary Noise
Selina naupenda mashairi yake, walijitahidi
Je,unakumbuka ngoma gani kali ya zamani (bongo flava) au East African muziki wa kizazi kipya?
Mimi naukumbuka wimbo 'Baby Girl' wake Mad Ice.
Nitarejea- Daimond
Dumbala - matrix
Kitambaa - king kiki
Zali la mentali- professor j
Ngeli ya genge- jua kali
Kwaheri - jua kali
Kali zipo nyingi Sana ila dedication yangu kwa my family and all Tanzania resident ni don't worry about day all things wall be right nadhani hii rage mnati utakuwa unaijua