Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
- Thread starter
- #41
Hii safari ilikuwa ikifanyika USIKU WA MANANE na kulingana na rubani aliyenusurika alisema mlimani mvua ilikuwa nyingi mno na kukawa na kupotea kwa mawasiliano. Kwa hivyo given that scenario, imawezekana chopper tatu kuanguka kwa safari moja.
Two Uganda soldiers dead in Kenya
Mkuu helikopta haziwezi kukosa mawasiliano zenyewe kwa zenyewe kama zinatumia HF/VHF frequency kwenye mawasiliano ,hata kama mvua inanyesha ya namna gani! Ingekuwa mawasiliano yako kwenye microwave-band basi mvua ingefanya mawasiliano kukatika.
Chopper aina ya (HIND) Gunship ni very sophisticated sana - ni all weather fighter, aijalishi kama ni usiku,mchana,mvua, mawingu au milima ya Everest, alafu cruising altitude above sea level inaiwezesha ku-clear milima yote Nchini Kenya na Uganda (Duniani). Ajali hii inashangaza sana, hivi marubani walikunywa kidogo pale Nanyuki au? Alafu, hivi ni nani anatoa ruhusa ya umbali wa kuruka kutoka aridhini (cruising altitute above sea level) nani anatoa taharifa ya hali ya HEWA kwa CREW wanapo ingia hanga la nchi ngeni, je nani anapaswa kuhakikisha usalama wa ndege zinapo kuwa hangani - hii nadhani ni kazi ya AIR/traffic Controller unless na wao kama walikuwa wamelala which is highly unlikely, hawa wanaona kabisa kwenye rada zao kama ndege zinataka kugongana zikiwa kwenye same altitude na wanatoa taharifa kwa marubani. Lakini looking back ajali hii kidogo inafanana na ajali iliyowahi kutokea wakati John Garang alipo kuwa anasafili na chopper aliyo pewa na M7, nayo iligonga milima lakini hiyo ilikuwa ya kubeba troops siyo Gunship, Gunship ni vigumu kuaguka ovyo au kugonga milima bila mpangilio.
Mwisho labda niseme nikichekesho kusema ndege kama hizo zinaruka bila ya kuwa na RADA kenywe nose, ndege karibu zote zina kifaa hicho, iweje ndege za kijeshi.