Three Kenyans arrested in Tanzania for not having visas

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,073
Three Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.

They were denied entry after landing at about 10am for a drone camp training at State university of Zanzibar, which is hosting the annual ZANSEA conference.

Those arrested were Kenfrey Kiberenge (Nation Media), Maxwell Agwanda (Standard Group) and Patrick Vidija (Radio Africa).

Kwasi Gachie (Code for Africa Program Assistant) and two other facilitators were also held but released later.

A trainer, who spoke to The Star by phone, confirmed the arrests but said they did not know what would happen next.

"They are still with the officers. We are worried for them," she said.

Reached for comment, East African Affairs PS Betty Maina said they were not aware of the incident but would look into it.

"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."

A visa is not required as Zanzibar is part of the East Africa Community.

Vidija said he and the two other journalists were released at about 3pm after paying $100 each for business conference visas. The facilitators were not required to pay this fee.

Boniface Muhia, acting High Commissioner to Tanzania, confirmed they were released and had gone to their hotel.
 
Napenda jinsi Wadanganyika wengi kizungu ni janga la taifa. hawasomi nakala kabla ya kupachika mpurupuko wao kwa JF. hawa maripota kutoka gazeti za kenya walienda semina na visa haitajiki kwenda nchi ya zanzibar kama moja ya nchi za JAM. hawakwenda kuishi hio nch ya kisiwa!!!

Three Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.

"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."
 
Napenda jinsi Wadanganyika wengi kizungu ni janga la taifa. hawasomi nakala kabla ya kupachika mpurupuko wao kwa JF. hawa maripota kutoka gazeti za kenya walienda semina na visa haitajiki kwenda nchi ya zanzibar kama moja ya nchi za JAM. hawakwenda kuishi hio nch ya kisiwa!!!

Three Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.

"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."
Visa not required.... do you think our security officers are such stupid... holding someone without reasons?
 
polisi wa tz waendelee na ukaguzi tuu hamna jinsi
FB_IMG_1494474993416.jpg
 
Napenda jinsi Wadanganyika wengi kizungu ni janga la taifa. hawasomi nakala kabla ya kupachika mpurupuko wao kwa JF. hawa maripota kutoka gazeti za kenya walienda semina na visa haitajiki kwenda nchi ya zanzibar kama moja ya nchi za JAM. hawakwenda kuishi hio nch ya kisiwa!!!

Three Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.

"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."
Mpurupuko,=mkurupuko
 
Eti business conference visa ni $100 kwa siku mbili tatu, alafu tourism Visa ni $50 kwa miezi mitatu..... No wonder kenya is always hosting international conferences.... Alafu hao journalist mbona wana majina yamefana na ya kitanzania hivi..... It cannot be that of all the visitors only jounerlists from kenyanmedia stations didn't have Visa.... Hapo naona wamelengwa maksuudi, hamtaki wanahabari wa media za kenya waingie zanzibar... Mimi ninavyojua huku Kenya wakikutana na mwanahabari hana visa hawakufungi, kitu cha kwanza wanapigia stetion yako ije ikutetee manake wanajua ukimshika mwanahabari itakua ni kujitaftia shida tu.. Lakini huko zanzibar hakuna uhuru wa wanahabari kabisa!
 
Napenda jinsi Wadanganyika wengi kizungu ni janga la taifa. hawasomi nakala kabla ya kupachika mpurupuko wao kwa JF. hawa maripota kutoka gazeti za kenya walienda semina na visa haitajiki kwenda nchi ya zanzibar kama moja ya nchi za JAM. hawakwenda kuishi hio nch ya kisiwa!!!

Three Kenyan journalists were arrested in Zanzibar on Thursday for not having visas despite the lack of this requirement.

"There is no requirement for visas to Zanzibar," she noted. "We are checking with our teams."
Asa ndo umeandika nini hapo mkuu? Au umetype tu kwa sababu vidole unavyo?
Tumekurupuka kivipi?
 
Hii habari imekaa kimahaba na haieleweki, ila ninachokijua ni kwamba kama mwanahabari halafu unakwenda kwenye nchi yoyote yenye ukandamizaji na mapungufu ya demokrasia, lazima uwe makini, hakikisha una makaratasi yote na pia ubalozi wako wanajua uwepo wako. Vinginevyo, wanahabari huwa wanafuatwa sana, hebu jaribu kuingia Korea Kaskazini ndio uone shughuli yake.

Pale Zanzibar kuna matatizo makubwa ambayo yalisababisha hata Tanzania inyimwe misaada kwenye kile kibakuli cha kuombea misaada wao huzungusha kwa wazungu, hivyo mwanahabari wa kigeni kuwa makini, utapotezwa baharini. Ukiingia pale fuata taratibu zote, na kama huzijui, basi kabla hujasafiri wasiliana na wakili wa nchi husika akuweke sawa kwa taarifa zote.
Hakikisha pia una jamaa zako kwenye uhamiaji pande zote mbili ambao mnapigiana simu ili kuwa na uhakika wa kila hatua.
 
Nijuavyo mimi. Raia wa Kenya haitaji kuwa na visa kuingia Tanzania. Kama kweli wamekamatwa kwa kosa hilo litakuwa jambo la kushangaza sana. naamini kuna sababu zingine
 
Hii habari imekaa kimahaba na haieleweki, ila ninachokijua ni kwamba kama mwanahabari halafu unakwenda kwenye nchi yoyote yenye ukandamizaji na mapungufu ya demokrasia, lazima uwe makini, hakikisha una makaratasi yote na pia ubalozi wako wanajua uwepo wako. Vinginevyo, wanahabari huwa wanafuatwa sana, hebu jaribu kuingia Korea Kaskazini ndio uone shughuli yake.

Pale Zanzibar kuna matatizo makubwa ambayo yalisababisha hata Tanzania inyimwe misaada kwenye kile kibakuli cha kuombea misaada wao huzungusha kwa wazungu, hivyo mwanahabari wa kigeni kuwa makini, utapotezwa baharini. Ukiingia pale fuata taratibu zote, na kama huzijui, basi kabla hujasafiri wasiliana na wakili wa nchi husika akuweke sawa kwa taarifa zote.
Hakikisha pia una jamaa zako kwenye uhamiaji pande zote mbili ambao mnapigiana simu ili kuwa na uhakika wa kila hatua.
Acha uchochezi wewe.
 
Back
Top Bottom