ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,229
- 6,469
Hope wote mmeamka salama.Kwa wale wenye changamoto poleni.Mungu awe faraja kwenu.
Mimi ni mpenzi sana wa kusoma historia mbalimbali hasa hasa zinazoohusu OPERATIONS ZA KIJASUSI.Saivi nipo likizo kijijini muda mwingi nautumia kujisomea mambo hayo (nashinda ndani sitaki kuzurula).Nimejikuta nimesoma thread zote za kijasusi kule JAMII INTELLIGENCE za akina Rakim Pamoja na zile za kichawichawi za Mshana Jr .
Nipo kwenu kutaka kujua ni chimbo gani lingine nitapata THREADS za namna hiyo?.
Good weekend.