Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,331
- 38,692
Wewe umenisahau sio? Hajambo F....ma Mnaro?
Sasaa mkwe unaaribu ni pm
Basi ama utaki tkt ya kwenda
Brasil
Wewe umenisahau sio? Hajambo F....ma Mnaro?
Wewe umenisahau sio? Hajambo F....ma Mnaro?
Sofar mlio makazini/mabasi
france 1 nigeria 0
dk ya 88
huree africa
Ni pm with email
Utawapatawengj
Nigeria 0, france2 piga makofi sasa Africa mko juu. Imebaki team Moja Algeria je itatolewa nayo??
Tobaaaaaa yamekuwa hayoo tena nitapasuka naomba niishie hapa niendelee kutojua.
Ni pm with email
Utawapatawengj
Hata wewe mate mwoga
Yaani nikiwa kwenye hiyo habari mauoga sijui yatoka wapi, usinambie tena ukiona ukisikia kausha iwe siri yako.
Nani aku pm?
Nitakunyanyua kama kuku aliyelowa hapo ngarenaro
Me wala sifanyi hivo dear, au m-pm wewe akwambie alichotaka kunambia.
Find above details
Cc::mwany....
Nilichotaka kuwambia
Nimewamiss kwel kanisani
Sikuhizi mmebadili kanisa
Hahaaaaaaaa umenifanya nicheke, tupo wala hatujabadili kanisa tulisafiri kidogo jumapili utatuona.
Mmmh sitaki mtanichonganisha bure na sweet wangu wala hizo details sizitaki tena.
ngoja nikimaliza kula daku nami nitachangia.
Nalog off
Amina tumemis zaka zenu wapendwa mbarikiwe
Natafuta pa kudlt sipaoni
Ok Kirohonishadlt
We mtata unamiss zaka na kuhani wa Bwana atamiss nini?