miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Ukimpata? Nitakupa mimi mwenyewe niwe wako
Mpaka pesa na mal zako?
Ukimpata? Nitakupa mimi mwenyewe niwe wako
Nipo mkuu nalijenga tu taifa la Tanzania, sasa hivi tunapiga bati hahahaha!!!
nipo sana, ila was so bussy na katiba mpya, na majukumu mengine, mara nyingi huwa nakuja kuchungulia ila nisingeweza kuanzisha mada alafu nikiwa sina muda wa kuzichangia, nitarudi tu japo bado nina majukumu makubwa ya kitaifa zaidi. WELL, AM GLAD. TUPO PAMOJADah! Em mkumbuke na umuite yule unayedhani alikuwa mtoaji mzuri wa nyuzi na hivi sasa amepotea haonekani humu,iwe kwa wingi,yenye mafunzo,burudani,majungu n.k hasa MMU........., Binafsi nimemmis Mshinga na nyuzi zake nyiiingi bandika bandua mana server za MMU zilikuwa hazipumui afu hajali wala nini ili mradi ujumbe mumeupata,sijui yupo wapi?? Nakumbuka mara ya mwisho tulizinguana kule Elimuni haagh si akanihamishia hasira MMU weee!! Ilikuwa shiidaa!Ha ha ha ila tulimalizana kikubwa! Mshinga rudi bana wadau tumekumiss!!!............................haya tajeni na wenu........
Mshinga unaitwa huku njoo utuboe tumemiss ....
I real miss you so much my wife @chos
I real miss you so much my wife @chos
Najua unanimiss sana kuliko mtu yeyote ila nisamehe tu kipenzi....dunia imebadili speed ya kuzunguka kwa sasa so namimi nimekua busy na mambo yetu yaleeeeeeee....
Nikipata muda nitarudi ili namimi nienjoy na jamaa zangu akina Mr Rocky na wote.
Pokeeni salamu nyingi sana toka kwa mzee mwenzangu Bishanga ....tukikamilisha maisha bora kwa kila mtanzania tutarudi tena...!
Take care
Love you so much mpenzi!
Cc Arushaone and Lady doctor
Lady doctor na Arushaone nawamiss sana
Hajambo mmeo....