Thread yanguuuu...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Jamani thread yangu ya breaking news: wanafunzi wafanyiwa kitu mbaya kigamboni imefutwa kwanini? Naomba majibu kutoka kwa mods.
 
Itakuwa imepelekwa kwenye jukwaa lake!
 
Nimeitafuta nimeikosa eti imefungwa sijui sijui imefutwa mara sina permission ya kuifungua. Hata sielewi
 
Jamani thread yangu ya breaking news: wanafunzi wafanyiwa kitu mbaya kigamboni imefutwa kwanini? Naomba majibu kutoka kwa mods.

"Imehamia" habari na hoja mchanganyiko, samahani hawakukutaarifu stevoh.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…