Alikuwa ni mtu mwenye mizaha ya kuudhi sana hapa JF.Alitumia username ya Mwanamalundi.Akipitia thread yako
lazima tumbo likusokote kwa jinsi atakavyokomenti. Comment zake maarufu ni: Haituhusu! Ujinga gani huo unatuletea
hapa? na nyingine nyingi za kuvunja moyo.Na hata avatar yake ilikuwa ni sura ya mtu mzee mwenye inda iliyofichika na
na tabasamu la kebehi.Kwamba kwa nini haonekani tena si jambo linalotuhusu, tuendelee na mishe zetu.
Kwa wale mnaomkumbuka, avatar yake ni hii hapa: View attachment 99232
Kwa heri Mwanamalundi wa bundi!
Macho yako tu aiseee Mamndeny! Mimi sina hiyo midevu ya msimamo mkali! Halafu ingawa kuna multiple id's hapa JF, siwezi ku-create character inayofanana na Mwanamalundi. Mimi ni mtoto mpole, mzuri, muungwana na...........(ongezea)
Macho yako tu aiseee Mamndeny! Mimi sina hiyo midevu ya msimamo mkali! Halafu ingawa kuna multiple id's hapa JF, siwezi ku-create character inayofanana na Mwanamalundi. Mimi ni mtoto mpole, mzuri, muungwana na...........(ongezea)
hayatuhusu upo haupo n maisha yako hahahaahahahahaah mi huwa napenda comment zao watu wenye temper ndio huweza kasirika lakini tuliozoea viumbe binadamu wewe ni wakawaida sana,Kaka mimi bado nipo sana hapa ndani. Tuendelee kuelimishana. I salute you my brother!! Long live JF!!!
Yaan wee acha tu Evelyn Salt. Alipotokeza nilijisikia mdogooo kama mbegu ya tumbaku!Ha ha ha dah!!!
noma kumsema mtu afu atokee.....
Eti Nivea wewe unapenda komenti za watu wenye temper? Na umezoea viumbe waitwao binadamu?Weweb una mrengo wa kisiasa? uko upande fulani katika vyama vya siasa? Kama majibu yako ni ndio hebu tembelea jukwaa la siasa na kama baada ya siku tatu hujapigwa ban uje hapa utuelezehayatuhusu upo haupo n maisha yako hahahaahahahahaah mi huwa napenda comment zao watu wenye temper ndio huweza kasirika lakini tuliozoea viumbe binadamu wewe ni wakawaida sana,
Yaan wee acha tu Evelyn Salt. Alipotokeza nilijisikia mdogooo kama mbegu ya tumbaku!
Bahati yangu hakutoa komenti kichaa. Kajieleza kigentleman sana huwezi amini Evelyn Salt!ha ha ha hata yeye kawa mdogo....
angekupa ile "this is your private business...."
Bahati yangu hakutoa komenti kichaa. Kajieleza kigentleman sana huwezi amini Evelyn Salt!