SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Alikuwa ni mtu mwenye mizaha ya kuudhi sana hapa JF.Alitumia username ya Mwanamalundi.Akipitia thread yako
lazima tumbo likusokote kwa jinsi atakavyokomenti. Comment zake maarufu ni: Haituhusu! Ujinga gani huo unatuletea
hapa? na nyingine nyingi za kuvunja moyo.Na hata avatar yake ilikuwa ni sura ya mtu mzee mwenye inda iliyofichika na
na tabasamu la kebehi.Kwamba kwa nini haonekani tena si jambo linalotuhusu, tuendelee na mishe zetu.
Kwa wale mnaomkumbuka, avatar yake ni hii hapa:
Kwa heri Mwanamalundi wa bundi!