Thread maalum ya mabachela ( team mabachelor)

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
584
Wana MMU nimeamua kuanzisha thread maalumu kwa ajili ya sisi vijana ambao hatujaoa/kuolewa ili tujadili changamoto za maisha ya ubachela na jinsi ya kukabiliana nazo ahsanteni.
 
Wana MMU nimeamua kuanzisha thread maalumu kwa ajili ya sisi vijana ambao hatujaoa/kuolewa ili tujadili changamoto za maisha ya ubachela na jinsi ya kukabiliana nazo ahsanteni.
Mtadanganyana tuuu...!
Stori zenu zitakuwa kuhusu
-kwenda club
- kushindana kuopoa mademu bomba
-kuongopeana kuwa ndoa ni kitu kibaya mno
-kutongoza wake zetu
-kushindana mavazi na magari
- kuwa na matarajio makubwa kupita kiasi kwenye kila jambo

Niamini utaanza kufikiri vitu vya maana utakapoingia kwenye ndoa
 

Tufanyeje kundokana na hilo tatizo
 
Tufanyeje kundokana na hilo tatizo

Jiandae kuwa na familia !Chagua mwanamke ambaye una uhakika utaishi naye mpaka kifo kitakapowatenganisha
Mwanamke mzuri wa sura na shepu pia ili baada ya kuzoeana bado aonekane kwako kuwa hukukosea kabisa
Mwanamke mwenye hekima na heshima !mwenye kuzifahamu changamoto za ndoa na jinsi ya kuzitatua

Mkikutana mkapendana kwa dhati na kuaminiana ndoa yenu itakuwa ya furaha na mafanikio makubwa
 
la hasha, kama ww ulianza fikiria vitu vya maana ndani ya ndoa si wote wapo hivo,
tena wengine ndoa ni obstacles.
so ni kujipanga tu.
 
mabinti wako humu jf lakini mbwembwe nyingi tu. Ila mi nimejipanga kuachana na ubachela kwa kupata mke kutoka jf. Ngoja single ladies waje hapa
 
Jamani me ntakuwa muweka hazina wa hii timu..hahahaaaaaa!
Halafu City hunter j usije kuniharibia huku ile proposal nshaicancel.
 
Last edited by a moderator:
kwani lazima kuwa bachelor? kwani lazima kuoa?

Tafakari kwanza..
 
Wana MMU nimeamua kuanzisha thread maalumu kwa ajili ya sisi vijana ambao hatujaoa/kuolewa ili tujadili changamoto za maisha ya ubachela na jinsi ya kukabiliana nazo ahsanteni.

ndoa za sasa hivi zna mitihan mingi sana wanawake wenyew hawaridhik na kila hali hvyo ili kupunguza jitahidi haya: hakikisha unakuwa na mwanamke mnayependana kweli, awe anajtambua na anatambua utu na thaman yake...... Ww binafsi jitahidi kufanya kila jambo kwa busara. ........ Hakikisha unaoa ukiwa na aset kama nyumba yako au kiwanja au hata biashara ya kukuingizia kipato. Tambua ukishaoa ndio unaanza kuongeza familia hvyo usipofanya mapema hayo itakupa ugum kufanya ukishakuwa na familia
 
mabinti wako humu jf lakini mbwembwe nyingi tu. Ila mi nimejipanga kuachana na ubachela kwa kupata mke kutoka jf. Ngoja single ladies waje hapa

Nitoke vipi hii. Mumeambiwa mujadiliane masuala ya msingi wewwe unasubiri totoz.
 
Ma bachelor wa MMU wamekaa kimya, busy wanasaka hela.

Hawa 22 to 26 wanaitana vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…