Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Wadau naomba mnifahamishe kama mechi hii ya Chad Vs Tanzania itakayofanyika tarehe 11/11/2011 kama itarushwa moja kwa moja na kituo chochote cha televisheni hapa Tanzania kwa sababu hawajatangaza.Vilevile nina ndugu yangu yuko Malaysia na yeye anaomba kufahamishwa kama anaweza kuangalia online na ni kwenye website gani?

nitumie program gani ili niweze kuangalia mechi online?



 
imesha chezwa tanzania kashinda 2 chad 1
 
Naomba msaada jinsi ya kuona mechi live bure kwenye computer kama za uefa,primier league nimejaribu ''live football'' bila mafanikio
 
Mimi mwanzo nilikuwa nahangaika sana na tv softwares ambazo kiukweli ziko very limited ktk channels zake. Mwisho wa siku google ndiyo ikajakuwa suluhu. Website ni nyingi sana zenye kuonesha mechi live kibao. Huna haja ya kukariri, we ingia tu kwenye google kisha omba Live football streaming sites utapata orodha ya sites kibao, kisha utajichagulia mwenyewe ipi utakayoona inakufaa.
 
Naomba msaada jinsi ya kuona mechi live bure kwenye computer kama za uefa,primier league nimejaribu ''live football'' bila mafanikio

Bure inategemea na Bandwisth ya net yako hizi ni baadhi ya link

mypremium.tv/
- Hawa si tu unaweza kuona channel kadhaa za sky sports bali hata baadhi ya vipindi vizuri vya sayansi na tek vya BBCone au BBCtwo Vile vile Eurospsoprts. Njia nyingine unaweza kuona channel kama hizi moja kwa moja bila upitia kwenye tovuti nyingine ni kufake IP iwe ya nchi fuani eg uk.

VIPBOX.tv hapa napo unaweza kucheki michezo mbali mbali live

vile vike soma singarure hapo chini kwenye kablog a mtazamaji unaweza
 
nitumie program gani ili niweze kuangalia mechi online?



 
vp kuhusu kuangalia kwenye cm mkuu,mimi natumia samsung galaxy mini,aroid
 
nitumie program gani ili niweze kuangalia mechi online?

Kwa nini online si ununue dish au uende bar ili uchangie pato la taifa.

Online game inakua nyuma kwa sekunde 60 au zaidi kuliko katika tele

Same match jirani yako anaweza akawa anashangilia goli wewe bado unashanga na online yako. Hadi sekunde kadhaa zipite ndo nawe waliona
 

Mkuu wengine wanaishi kwenye nyumba za kupanga na Mafadha hausi wao ni wanoko so kufunga Dish ni shughuli pevu lililo rahisi kwao ni kucheck live stream kupitia Laptop/Desktop zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…