Thread iniliyonisaidia kujua jinisia ya Kongosho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thread iniliyonisaidia kujua jinisia ya Kongosho

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lucas, Mar 21, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dada yangu Kongosho habari?

  Kwanza hongera kwa kutimiza mwaka ukiwa JF. Leo naomba niwasaidie wengine ambao wamekuwa na maswali meeeeeeeeengi juu ya dada Kongosho.... hii thread https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/185106-kupendwa-na-usiyempenda.html ilinisaidia sana kujua kumbe Kongosho ni she! ndio maana sina maswali mengi na wewe. nimeona niwasaidie wasiojua hilo. ukitoa turubai niambie na mie nije kukupongeza.

  Sizayo, SS

  [​IMG] Kongosho

  23rd October 2011 11:07
  #1 [​IMG]

  [​IMG]JF Premium MemberArray


  Join Date : 21st March 2011
  Location : Location loading...
  Posts : 9,240
  Rep Power : 2979
  Likes Received3316Likes Given1782​


  [h=2][​IMG] Kupendwa na usiyempenda .....!![/h]
  naomba ni-share na wanajamvi hiki kisa kinachonitesa kwa saa...
  Hapo zamani za mwaka 1998 nikiwa nimemaliza fom 4 alitokea kijana mmoja akaniambia ananipenda, let me call him mr. X, wakati huo na yy alikuwa amemaliza fom 4. Tulisoma wote kuanzia darasa la kwanza alipofika la 5 akahamia bongo hadi aliporudi tukiwa tumemaliza fom 4 na straight akaniambia ananipenda. Nilimkataa sababu sikuwa tayari kuwa na mahusiano, nikaenda high school mkoa mwingine na yy akaenda shule lakini he kept in touch na kipindi hicho ilikuwa ni barua. Nikamaliza high school lakini yy ilibidi arudie mwaka lakini alijitahiti sana kurudi mkoani toka dar just to say hello to me.
  Mie niliendelea chuo kikuu lakini kila siku alikuwa akiniambia how much he loved na ni kweli nilijua fika ananipenda lakini mie nilimwona as a friend and brother. Baadya ya kufika chuo nilipata kamjaa nikakapenda hadi tukapata mtoto na baadae tukaachana mwaka 2008. Mr hakujali akaniambia mie bado nakupenda mtoto so hoja, still sikuweza kumkubali. Baada ya masomo nilipata kazi dar nikamia hapa na yy akarudi mkoani tulikotoka ila mara kwa alikuja dar na kunitafuta na tulikuwa tunawasiliana almost kila siku. Mwaka jana akaniuliza kwani yy anatatizo gani for 11 years amekuwa akiniambia ananipenda na nimemkataa, na jibu langu ilikuwa nampenda as a friend and a brother. Na kweli nilikuwa nampenda sana japo sio kimahusiano ya mapenzi. Na nilikuwa nikienda kuona wazazi mkoa kitu cha kwanza ilikuwa ni kumtafuta kokote alipo, hiki kitu kilikuwa kinamuudhi sana mama yangu maana alikuwa akisema unakuja home hata kula huli unaenda kwa mr x akati sie tumekuandalia rasmi.
  Mwaka huu mwezi wa 4 alipata misukosuko ambayo akashindwa kuibeba emotionaly sababu alinipigia akaniambia moyo umamwenda mbio for almost 2weeks, mie nikajua ni mshtuko wa yaliyompata na time will heel him. Kwa almost 8days nikawa sijampigia sababu ya kubanwa na majukumu and then 26 may night almost saa nne nikapokea sms toka kwake akiniambia kalazwa ghafla siku hiyo. Kwenye saa nne na robo usiku nikampigia japo hakuweza kuongea sana nikamwambia ntakupigia kesho pumzika wa sasa. And then mie nikalala, kesho yake asubuhi sana naambiwa he is no more, i almost fainted.
  I felt guility maana ni kama vile alinifanyia 'I wont forget you even on my dying bed' maana alifariki saa tano na nusu usiku the same day.
  Had leo inaniumiza sana nashindwa kujisamehe kwa kutompenda. One week ago nimeota tumeonana akawa anataka kunipelewa mahali nikamwambia ngoja nijiandae kabla sijamaliza kujiandaa nikaamka. Kumwambia dada angu akaniambia nimkemee sana sio vizuri ndoto za aina hii.
  Jamani ukimpenda mtu akasema hakupendi elewa, just understand, it happen​


   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...hii tuhuma nzito!..sijui SS umejipangaje!
   
 3. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  tusubiri mwenyewe aje.
   
 4. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mi kuanzia leo basi ntamwita Da K
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni wifi yangu,kwani ulikua hujui?
   
 6. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  ushaihidi si huu hapo, tuhuma kivipi!?? nipo kamili
   
 7. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  usihofu, atakuja kuthibitisha tu na kuondoka
   
 8. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mbona wengine tushaanza siku nyingi nimeona niwasaidie msiojua..... And the truth shall set her free
   
 9. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Kwa Aspirin? hilo mbona mie nililijua long ago! ila leo nimeona niwasaidie baadhi wasiojua!!
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhh mboni konnie tu..
   
 11. Imany John

  Imany John Verified User

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa mbioni kutangaza ndoa nae.sema kuna makosa ya kiufundi yalitokea.nikabwagwa.

  Kongosho ni mdada wa haja.
   
 12. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ulikosea wapi ili nikibadilisha mawazo na mimi nisikosee?
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  shauri yako Saint,mwenzio Konnie anatembeaga na kopo la vaseline,we jishebedue tu, utajiju!
   
 14. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lakuchumpa la kuparama, bei chee buku jero halina gharama *naimba huku napita*
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,503
  Trophy Points: 280
  Nani kawapa mamlaka ya kumdiskasi demu wangu Kongosho bila ridhaa yangu na familia yangu. Someone is going to be killed kabla jua halijazama. Kongosho asali ya ODM come this way darling. na kale kachupi kako tafazali.
   
 16. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Duh! Yaani huyu Kongosho ninaemjua na vibweka vyake. Kumbe SHE.
   
 17. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani jamani ...

  What a sad story umeitoa hiyo Smiling Saint? Eeh..?

  Wajua anaweza kuwa katika hali gani akiingia kwenye huu uzi wako?

  Konnie.. You are my JF Best Intertainer of all times!!
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yah umemdhalilisha sana Kongosho....hapo alikuwa anamsemea mtu tu na si km unavyodhani
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kaka mkubwa na ww kwa kuchongea!...tehee!
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sio sababu, wengi huwa hatupost mambo yanayotuhusu humu. Mi mmojawapo.
   
Loading...