Thread: Cars in photo

Thread: Cars in photo

DZSkTiqW4AAa1wx.jpg:large.jpeg
 
Mi naona mada ingekuwa nzuri kila mtu a post mkoko anauosukuma huo ndiyo anaoupenda hadi akaununua.

Haya magari ya kina Bekham; akina Sarez tuwaachie wenyewe.
Sasa nililo nalo ni sababu ya tu ya shida. Ila silo nalolipenda
 
Sasa nililo nalo ni sababu ya tu ya shida. Ila silo nalolipenda
kaka mimi roho yangu ipo hapa kwa sasa; sitaki kuumiza roho - nimeridhika maana kananifikisha kwenye misele yangu ya narudi home raha mustarehe.


 
kaka mimi roho yangu ipo hapa kwa sasa; sitaki kuumiza roho - nimeridhika maana kananifikisha kwenye misele yangu ya narudi home raha mustarehe.


Tuko wote hapo kwa sasa. Lakini mimi bado mapenzi yangu na pick ups hayajafutika. Nikizichanga ipasavyo lazima nivute angalau Ford F150 hivi, Amarok au Toyota Tundra moyo wangu uridhike
 
Back
Top Bottom