mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
huyu mnyama mbona bongo huwa haonekani?
Yake ndotoniYote yako mkuu
Ko anapost magari ya sisi wanaume wenzakeYake ndotoni
Kwa vile huna hata baskeli sio?Useless thread
bongo nshawahi kuona kama hii![]()
huyu mnyama mbona bongo huwa haonekani?
Hio ya chini ukuiipata SRT HEMI version aiseee ni shiiiiiida.
Gari za maDon hizi [emoji3]
wengine tunasukuma miguu sasa![emoji30][emoji30][emoji20][emoji20]Mi naona mada ingekuwa nzuri kila mtu a post mkoko anauosukuma huo ndiyo anaoupenda hadi akaununua.
Haya magari ya kina Bekham; akina Sarez tuwaachie wenyewe.