king'amuzi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 614
- 225
pole sana chukua kama changamoto usichume tunda la mti wa katikati kama hujajua tunda ni la aina gani.maana najua mzee baada ya kuchuma ndiyo alikutolea makucha. msahau tu maana hata hivyo anaonyesha hakupendi dada yangu