Though ur a married man, i will always love u

Muanzisha hii thread sio Mpoleee aka Golden Mpoleee aka aka aka kweli?
 
Chizi!
Yaani ulipoambiwa 'kuna msichana nalazimishwa kuoa ila simpendi nakupenda wewe' ukajiona bingwaaa!
Kweli wanawake akili zetu zinatutosha wenyewe! Eliza wa tegeta nae sijui kahamia mbagala? Kha!
 
Chizi!
Yaani ulipoambiwa 'kuna msichana nalazimishwa kuoa ila simpendi nakupenda wewe' ukajiona bingwaaa!
Kweli wanawake akili zetu zinatutosha wenyewe! Eliza wa tegeta nae sijui kahamia mbagala? Kha!

eliza wa T ndo my truly married wife,nilimchukua jumla!
 
Chizi!
Yaani ulipoambiwa 'kuna msichana nalazimishwa kuoa ila simpendi nakupenda wewe' ukajiona bingwaaa!
Kweli wanawake akili zetu zinatutosha wenyewe! Eliza wa tegeta nae sijui kahamia mbagala? Kha!

Haya bana best, naona itabidi uanze kutembea na "bistola" vinginevyo bingwa anaweza kukuvamia mtaani. 🙂🙂
 
think TWICE. Hivi kama angekuoa, halafu baadaye ukagundua ana kiburudisho kingine tena ungefanyaje? You can choose to restart your love life with somebody else. I mean YOU CAN CHOOSE, if you wish. And do it while you still have time.
 
Mpenzi,
Umeamua kuleta siri zetu hapa jamvini?
Usijali hata kama nimeoa bado mimi nakupenda wewe zaidi ya mke wangu, so i'l fight for our love no matter what!!!
 
Tulia,Mungu atakupa wa kwako., Huyo hakufai na wala hakuumbwa kwa ajili yako.
 
...Naona umeamua kuja hapa na ID mpya....ingekuwa poa sana kama ungezuka na ID yako ya kweli. Pole sana kwa yaliyokukuta.

Nilikuwepo kwenye harusi yake.......

mwanamke akisema nampenda 'mume wa mtu' hakuna hatari
ole wako mwanaume uropoke eti 'nampenda mke wa mtu'
uone utakavyo shukiwa lol
Hawa jinsia ya upinzani wabaguz kweli hawa. Lakini Mungu atatulipia
 
uwiiiiiiiiiiii,madogo yana nafuu ,wala hata hakukupenda alikuwa anakudanganya
Ulimpa tunda?maana watu wasanii sana.
Kama angekupenda asingemuoa huyo ambae alikuwa hampenda,
Pole mwaya jifunze kutokana na makosa .
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…