Though the blame of COVID19 spread is on Tanzania, Nairobi has no water for weeks now

MK254 anapita kwa mbalii na ndoo yake anaenda kutafuta maji,kutoka kibera anapoishi mpaka Lang'ata na hana uhakika wa kuyapata,na anatakiwa saa12 jioni awe amerudi na ameshalala
Hiyo ni middle income.country
Mtani wangu MK254 njoo umepewa za uso
 
MK254 anapita kwa mbalii na ndoo yake anaenda kutafuta maji,kutoka kibera anapoishi mpaka Lang'ata na hana uhakika wa kuyapata,na anatakiwa saa12 jioni awe amerudi na ameshalala
Hiyo ni middle income.country
Mk254 njoo utetee hapa!! Watu wamebanana kwenye mlundikano wa que ya kusubiri maji huku wakiwa hawana hata Barakoa!! Hapo mchana corona anajitafutia mawindo kwa raha zake!! Halafu ikifika usiku eti ndo wanaanza lockdown wakati mchana wote watu wako kwenye zero distance bila Barakoa wala sanitizer (kwenye clip wanasema hivyo wenyewe)!!! Halafu MK254 akikaa nyuma ya keyboard anasema Tz ni kitovu cha maambukizi ya covid 19!! Anajifanya hajui data ikoje huko worldometer!!
 

MY TAKE
Majirani muache husda malipo yapo hapahapa duniani! Msipoangalia hili suala la ukosekanaji wa maji, infection itaongezeka kupita maelezo!
Hii clip imeivua nguo kenya na mpambe wake mashuhuri MK254!! Ni aibu ya uso! No social distancing, no washing of hands, no masks!! Halafu unapataje moral authority ya kujaribu kumcheka Jirani yako?? TZ kila duka lina ndoo ya MAJI na sabuni! Huingii ndani ya duka bila kunawa na bila Barakoa! Hivyo hivyo kwa town buses na ofisi zote!!
 
Nchi ya hovyo sana, kamji finyu kama kanairobi kananyukwa na uhaba wa maji for decades

Magufuli katoa maji Mwanza mpaka Tabora sasa yanaenda Singida zaidi ya kilometers 330 kwa miaka mitatu tu

Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
hivi kutoa maji baridi/matamu kabisa kutoka hapo ziwa victoria mpaka nairobi itaghalimu pesa kiasi gani kwa middle income earners????

au tunasubiri coronya ipite tuangalie namna ya kuomba mkopo kwa magodfather
.
 
Sidhani hata Bujumbura kama wanashida ya maji kama Nairobi, hawa kweli ni 'Failed state", yaani pamoja na mvua zote hizi bado wanashida ya maji,?
Hapa Africa mashariki hakuna wananchi wenye maisha duni kama wakenya hata wakaazi wa bunjumbura wana makazi bora kuliko makaazi ya nairobi wakenya wanaoishi kwenye slum Nairobi ni zaidi ya 82% na hizo slum ni duni kuliko mambi za wakimbizi wa burundi

Send by APOLO 1
 
Kama maji ya kunywa hawana sijui mara ya mwisho kwa mkenya kichamba kwa maji ilikuwa mwaka gani?

Send by APOLO 1
 
Hapo Nairobi tu makaazi 82% ni slum, mbovu kuliko kambi za wakimbizi ,yaani wakimbizi wa burundi wanamaka mazuri kuwazidi ,wakenya kubalini nyinyi ndiyo mafukara wa mwisho hapa east African

Send by APOLO 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…