Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 310
Haina shida mkuu ww ndiye mwenye maandiko yenye point tupuHuyu anaitumia JF kujifunza kuandika makala za michezo.
Andiko limejaa pumba nyingi sana.
Daa lakin naukubali sana mpira wa Wajeruman sema miaka hii nao pasi nyingi mpaka kero sion tena mawe kama ya miaka ileHaina shida mkuu ww ndiye mwenye maandiko yenye point tupu
Ule ulikuwa wenyewe sana kitu made in GermanyDaa lakin naukubali sana mpira wa Wajeruman sema miaka hii nao pasi nyingi mpaka kero sion tena mawe kama ya miaka ile
Haina shida mkuu ww ndiye mwenye maandiko yenye point tupu
Mkuu kumbe ndio point yako hio, em sema ukweli ligi yenye ushindani ndio mancity angemaliza na point 100????Nani umewahi kumsikia anatamka kwamba Lingard ni mchezaji bora?
Kuna mahali umeandika eti kuna watu wanasema TAA ni bora kuliko Cafu! Unaweza kuthibitisha?
Halafu watu wanakwambia ligi haina ushindani hutaki kukubali, for the last 10 years Bayern kachukua mara 8, Dortmund mara 2. Ushindani uko wapi?
Unakuja na mfano wa ligi ya Italy, for the last 10 years Juve kashinda Seria A mara 9, hapo kuna ushindani? Au ushindani maana yake ni nini?
Kuhusu Lingard na TAA maneno yapo mengi tu toka kwa mashabiki na baadhi ya wachambuzi kama unapitia soçia networks utaona tu mkuuNani umewahi kumsikia anatamka kwamba Lingard ni mchezaji bora?
Kuna mahali umeandika eti kuna watu wanasema TAA ni bora kuliko Cafu! Unaweza kuthibitisha?
Halafu watu wanakwambia ligi haina ushindani hutaki kukubali, for the last 10 years Bayern kachukua mara 8, Dortmund mara 2. Ushindani uko wapi?
Unakuja na mfano wa ligi ya Italy, for the last 10 years Juve kashinda Seria A mara 9, hapo kuna ushindani? Au ushindani maana yake ni nini?
Mbona husemi katika miaka 10 man u alichukua ligi mara 7??? 1992-1999
Haya hizo timu zako zenye ushindani mbona zimeenda mashindano makubwa kama UEFA na bado zikawaprove wrong watu
Kuhusu Lingard na TAA maneno yapo mengi tu toka kwa mashabiki na baadhi ya wachambuzi kama unapitia soçia networks utaona tu mkuu
Mkuu haijalishi wanachukua mara ngapi lakini hakuna ushindani??? Pia mwisho wa siku lazima tukubali bayern na juventus wana best teams kufananisha na team nyingine za ligi na hii inatokana na investmentTunazungumzia current issues bro, hiyo Italy tuloyoiweka hapo, miaka hiyo ilikuwa ni ligi ngumu, ushindani wa kutosha kutoka AC Milan, Inter Milan, Juventus na wengineo.
Swala la City kupata points 100 au Liverpool kuchukua ubingwa ikiwa imebaki game 7 ni swala la mara moja kwa kipindi, ndiyo maana kwa zaidi ya miaka 100 hilo limetokea mara moja tu, ndiyo maana ya record.
Nazungumzia Juve kuchukua mara 9 na Bayern mara 8 ndani ya misimu 10 ya hivi karibuni, hata kama ni kwa gap la points chache, huo ndiyo ushindani?
Msimu unaanza tayari unajua bingwa ni nani, huo siyo ushindani.
EPL leo ukiambiwa umtaje bingwa wa msimu ujao hutapatia, ila nina uhakika Juve na Bayern ni mabingwa msimu ujao.
For the last 10 years, Juve na Bayern (Seria A na Bundesliga) wamechukua UEFA ngapi?
EPL wamechukua UEFA ngapi?
Kuhusu UEFA mkuu unajua jinsi spain walivyodominate kwahiyo vp tuseme na EPL nayo ni farmers league au maaana madrid ana 4 barca ana 2 bayern 1 chelsea 1 na Liver 1 na inter 1 na hapo ukicheki uamtaona Epl na bundesliga na serie A bado level ile ile vp kwa hilo mkuu?Tunazungumzia current issues bro, hiyo Italy tuloyoiweka hapo, miaka hiyo ilikuwa ni ligi ngumu, ushindani wa kutosha kutoka AC Milan, Inter Milan, Juventus na wengineo.
Swala la City kupata points 100 au Liverpool kuchukua ubingwa ikiwa imebaki game 7 ni swala la mara moja kwa kipindi, ndiyo maana kwa zaidi ya miaka 100 hilo limetokea mara moja tu, ndiyo maana ya record.
Nazungumzia Juve kuchukua mara 9 na Bayern mara 8 ndani ya misimu 10 ya hivi karibuni, hata kama ni kwa gap la points chache, huo ndiyo ushindani?
Msimu unaanza tayari unajua bingwa ni nani, huo siyo ushindani.
EPL leo ukiambiwa umtaje bingwa wa msimu ujao hutapatia, ila nina uhakika Juve na Bayern ni mabingwa msimu ujao.
For the last 10 years, Juve na Bayern (Seria A na Bundesliga) wamechukua UEFA ngapi?
EPL wamechukua UEFA ngapi?
Mkuu haijalishi wanachukua mara ngapi lakini hakuna ushindani??? Pia mwisho wa siku lazima tukubali bayern na juventus wana best teams kufananisha na team nyingine za ligi na hii inatokana na investment
Mkuu mbona madrid kabena uefa mara 3 mfululizo je UEFA Na tim za ulaya kiujumla hazina ushindani au??????
Sijui unataka relevance ipi??? Af pia uandishi kwa kufanya comparison sion kama kuna dhambi au violation yoyote ya principle za ushahidiUnaweza kuweka ushahidi?
Nakushauri kitu bro, flow yako ya uandishi ni nzuri, lakini ili andiko lako livutie, jaribu kuweka mifano ambayo ni relevant.
Acha uandishi wa kizembe wa kina Edo Kumwembe, kwamba ili usifie kitu fulani ni lazima uponde kingine.
Unaweza kufikisha ujumbe vizuri sana kumuhusu Thomas Muller bila kuiponda EPL (tena kwa kumtaja Lingard), unaweza kumsifu Muller bila kumponda KDB na bado ukaeleweka.
Sas mkuu hapo kwenye investment me ntajibu nn mkuu mimi ndio naratibu mipango ya club mkuu?Bayern na Juventus ni kweli wamefanya in investments. Kwa nini ligi nzima timu 1 tu ndiyo ifanye investment?
3 na 8/9 ni sawa?
Kwa mashindano makubwa kama UEFA ambayo timu bora ulaya zinakutana unaona timu kuchukua mara 3 mfululizo unaona ni kawaida?Bayern na Juventus ni kweli wamefanya in investments. Kwa nini ligi nzima timu 1 tu ndiyo ifanye investment?
3 na 8/9 ni sawa?
Kuhusu UEFA mkuu unajua jinsi spain walivyodominate kwahiyo vp tuseme na EPL nayo ni farmers league au maaana madrid ana 4 barca ana 2 bayern 1 chelsea 1 na Liver 1 na inter 1 na hapo ukicheki uamtaona Epl na bundesliga na serie A bado level ile ile vp kwa hilo mkuu?
Kwa mashindano makubwa kama UEFA ambayo timu bora ulaya zinakutana unaona timu kuchukua mara 3 mfululizo unaona ni kawaida?