Kaka nimeshangaa kuona na wewe ukisubiri mrejesho hapa wakati mwaka juzi nilisoma thread yako ukisema unalima heka 50 na mpaka leo hujaleta mrejesho... mpaka tunaogopa sasa maana kila anaeingia kwenye hiki kilimo harudi na mrejesho nini tatizo tunahitaji kujifunza toka kwenu.