Kizamani Labda,sio Hawa Mahawara Wa Siku Hizi Hawana Mapenzi Ya Kificho Na Waume Za Watu Atataka Umjue Kuwa Anakuibia Na Atakukashifu Kwa Sms Kibao Na Atafanya Kila Awezalo Kukurusha Roho Na Kuhakikisha Nyumbani Kwako Amani Imeisha Na Hapakaliki!,hiyo Roho Ya Kumuuguza Utatoa Wapi?